Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
FREEMASON ha hayo ulio andika hawausianiFreemason wamewaweza kweli Wakristo kuwaamisha sura ya Brian Decor kuwa ndie Yesu, hata wakitokewa na jinni washariri ni YESU.
Kama alivyowakaririsha wanaotokewa na shetani akijifanya ni Bikira Maria, Bikira Maria ajawahi mtokea mwanadamu yeyeto yule tangu alipoondoka duniani ile ni michezo ya majini.
Nilimuheshimu sana ila kumbe ni MC Pilipili aliyejificha ficha 😀😀😀Tuendelee kunywa mtori, nyama ziko chini🤣
nasikia alipata mchumba mbinguniZumaridi alionewa tu
kama ni kwel huyu father kapewa asali kidogo na deviNilimuheshimu sana ila kumbe ni MC Pilipili aliyejificha ficha 😀😀😀
Unaposafiri kwa TAZARA kati ya Mlimba na Ifakara kuna sehemu inaitwa Mbingu. Nadhani alikwenda huko.Wadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Mkuu hapa umemrefer nani? Mwl Mwakasege au?No sleep No slumber! ...Mtu mwenye Spirit ya Yesu huwa halalagi ...mara nyingi huwa anakua na usingizi wa mang'amung'amu....
I mean, wale watu wanaopenda kufanya astral projection kuingia kwenye nyumba za watu ...wakifika tu...spirit yake inakua very alert.
Mchawi akikuta roho iko macho huwa hawezi kuilazimisha ilale au kuizuru! #MidaYaWanga
Nadhani wengi wanatoa maoni yao bila kupata taarifa sahihi ya nini alikuwa anazungumzia na ilikuwa lini tukio hilo lilipotokea.Wadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya
Heaven is my throne and the earth is my footstool, Mungu anataka kila mtu amtafute kimpango wake na kisha amjengee nyumba yake na Mahala pa kupumzikia.Kama uko vizuri rohoni ni rahisi kuwasiliana na Mungu,siwezi kuwapinga
Nini kilitokea?Huyu jamaa Mimi nilimstukia tangu 2010 nilivyoenda kwenye semina yake jangwani.
Mhubiri wa kweli alikua Bhonke.
Safari ya mbinguni ni personal. Achana na hizo sugarcoated teachings Ndugu yanguYote tisa..
Kumi, kama ww huamini anachofundisha mwl mwakasege kuhusu siku za mwisho na kwenda mbinguni bas ww fuata mafundisho yako unayoamini ambayo yatakufikisha mbinguni
NB: pita njia yako na mm nipite yangu kikubwa tukutane mbinguni
Hapa issue ni MBINGUNI
Werevu wanakusaidia ushtuke kutoka kwenye usingizi wa kuwafuata hawa wajasiriamali wa biblia, wewe unadadisi.Yote tisa..
Kumi, kama ww huamini anachofundisha mwl mwakasege kuhusu siku za mwisho na kwenda mbinguni bas ww fuata mafundisho yako unayoamini ambayo yatakufikisha mbinguni
NB: pita njia yako na mm nipite yangu kikubwa tukutane mbinguni
Huwezi kupelekwa mbinguni ukiwa hai bhana!Nadhani wengi wanatoa maoni yao bila kupata taarifa sahihi ya nini alikuwa anazungumzia na ilikuwa lini tukio hilo lilipotokea.
Binafsi nimesikia akisema hilo lilitokea nyakati hizo wakati ameokoka miaka hiyo na alisema alipelekwa huko akiwa ndotoni na siyo kuwa alienda live kwa kupanga.
Mpaka nimekumbuka neno lake la leo ambalo kwa asilimia kubwa lilijikita juu ya wokovu pamoja na manabii na walimu wa uongo.
Oya, Acheni hizi mambo nyie walokole! Mnatuudhi wengine bhana!!Na kama ww ni mfuatiliaji wa mafundisho yake hii ni mara ya pili ametamka hili jambo
Watu wa rohoni wanaelewa kitu ambacho roho wa Mungu analiambia kanisa kuhusu habari ya siku za mwisho na unyakuo
Hakika hizi ni siku za mwisho na roho ya udanganyifu inaendelea kulitawanya kundi la wateule