MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
-
- #161
Check comment YAKO ya juu huyo jamaa alivyokiri....lakini bado anataka kumtetea!!Acha uhuni na uzandiki weka hio video hapa, watanzania walivo wepesi wataamini uongo huu bila akili evidence hamna tayari wanachotwa akili Pastor hajasema huo utopolo tatizo Yanga Utopolo mmepanic sana
Baada yako ndio nitaamini namiNtakua wa mwisho kuamini
Dunia ipo mwishoni, aliongea zumaridi tulijua ni mwendawazimu 😂Wadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Alisema wakikutana ndotoni hiyo ni kitu ya kawaida,watu unadhani wanapataje maono?Heaven is my throne and the earth is my footstool, Mungu anataka kila mtu amtafute kimpango wake na kisha amjengee nyumba yake na Mahala pa kupumzikia.
I mean, ukiwa hai,...hupaswi kwenda mbinguni huko juu..bali Mungu ndiye hukufuata pale ulipo huku chini....( Ndio maana ni muhimu sana kuwa na nuru ya yake ambayo ndio nyumba yake , na pia kuwa na Mwanga wa Neno lake, ambao ni Sawa na Mahala pake pa kupumzikia)
Siku Ukifa....anakuchukua nakukupeleka kwenye makao yake. Huko watu huishi juu ya SHERIA kwasababu wote wanakua walishakufa huku duniani.
Huku duniani kila mtu mwenye uhai lazima awe chini ya SHERIA, na haruhusiwi kamwe kufika mbinguni mpaka afe kwanza. Utaratibu ni kwamba , yeye atakua anafuatwa na Mungu kama alivyokua anafuatwa Yesu Kristo , mfano pale mlimani wakati anasali alifuatwa na manabii waliotumwa na Mungu...#rejea habari ya vibanda vitatu
"Unapozuru wengine , usinipite Mungu...." Ni nani aliimba haka ka wimbo vile?
Huwezi elewa badi.Huyu jamaa nae kumbe wale wale tu
Acheni pigo hizi. Na usinichukulie poa kabisa bob! Mimi ni level zingine kabisa. Na kiufupi , nilishawahi kutokewa na Yesu nikiwa kwenye ndoto....na aliniokoa kutoka kwà watu wa giza.Mamboo ya kiroho ni ngumu
kuyaelewa,kama huyaishi na
kuyafahamu.
Ni vigumu kumkosoa au kumuamini
Mtumishi yeyote kama kiwango
chako cha kumjua Mungu ni
kidogo.
MF;
Kanisani mvivu kwenda,
Biblia husomi,
Wokovu umeukataa,
Kuomba au Kuombea watu huwezi.
Hujawahi kumsikia Mungu akisema na wewe nk..nk
Ushuhuda alioutoa Mwakasege leo,na somo alilofundisha
nausadiki&sina shaka nao
kama ambavyo sikuwa&shaka
na ushuhuda unaofanana na
huu wa Marehemu Dr Moses
Kulola.
Nimalizie hivi;
Je,umeokoka?Yesu ni Bwana na Mwokozi kwako?
Jamaa nimempenda bure😂😂😂😂Yesu wa KisukumaView attachment 2593183
Sasa huoni comment za watu wengine wanaosema waliona pia? Na kwà kuwa ni wafuasi wake wanamtetea?wafanyayo behind the scene watajuana na Mungu,lakini kuwapakazia watu ubaya,wakati wanatangaza mema,tena unaandika na uzi ili kupata comment nyingi,na hauweki ushahidi,unawaambia wajitafutie ushahidi,,ni mbaya sana..
Sawa. Je ulishawahi kwenda mbinguni?Alisema wakikutana ndotoni hiyo ni kitu ya kawaida,watu unadhani wanapataje maono?
Kiufupi ukiwa vizuri rohoni vitu kama hivyo siyo vigeni
Mfano mimi binafsi mara nyingi huwa napata ujumbe kupitia ndoto na mara nyingi huwa ni kweli,
Jamaa nimempenda bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapakua mbinguni pale Ndugu.Huwezi elewa badi.
Mbinguni sio lazima upae, ni kuchukuliwa katika ulimwengu wa roho, yaani kupewa ufunuo, jicho la ndani na sikio la ndani liweze kuongea na wale walio katika maumbo ya kiroho.
Yesu akiwa na Petro, Yohana na Yakobo waliweza kupanda mlimani, wote wakageuzwa macho wakamwona Musa na Eliya wakasema nao.
Petro akaona ni mahali patamu sana.
Akamuomba Yesu wajenge vibanda 3...
Kimoja cha Musa
Elia na Yesu.
Haya mambo ni ya watu wa Rohoni sio ya akina:
mzabzab DeepPond wala dronedrake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kavaa hv hv Leo nilikua naangaliaAcha ubishi, nimemsikia na kumuona live .....nikabaki nashangaa tu. View attachment 2593185
Yuko vizuriJamaa nimempenda bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Possible maana Leo mafundisho yake yalikua hayo hayo na akaongelea kuhusu kusulubiwa mpk yule mtu aliyemdhihaki Yesu kipindi anasulubiwa@MzeewaKipusaBisha ukute nikweli ubaki ung'aang'aa macho hapo
Ukisoma mwanzo mwisho utanielewa, mbinguni sio kijiji bali ulimwengu wa roho, au nawe unaamini mbinguni kijiji au jiji flani juu?Hapakua mbinguni pale Ndugu.
Moja ya Point Muhimu iko hapo''Nimemsikiliza vizuri Sana ..na kasema kama ulivyosema ila mbona kaanza Kwa kusema " "wakati nimelala nikanza kuona maono nafsi inavyo nyanyuka mpaka kufika mbinguni akaanza kuona hayo maono ya kukuta na huyo Musa na akajihami usiulize amemjuaje akasema alitambulishwa ...
Sasa wewe unavyoiweka ni kama ya mama mdogo wako zumaridi..acha upotoshaji man.. mbona unakuaga mjinga we mzee
Acheni hizi mambo nyie walokole wa Mabwepande. Acheni kutisha watu bhana. Mimi nilishatoka huko katika hiyo hatua ya IGNORANCE, now nipo katika hatua ya CONFIDENCE. Imani thabiti ndiyo inanifanya nijiamini....Possible maana Leo mafundisho yake yalikua hayo hayo na akaongelea kuhusu kusulubiwa mpk yule mtu aliyemdhihaki Yesu kipindi anasulubiwa@MzeewaKipusa