Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

Nitajibu kuhusu lugha,

Lugha za duniani ni za huku, Mbinguni kuna lugha yake.

Roho Haina limit katika utambuzi, inajua yote.

Ukienda Mbinguni, hutafundishwa lugha chuoni, utaelewa na kuongea automatically.
 
Amina Amina
 
Www Ukiwa USINGIZI ukatoka ndani ya MWILI na kuona uyaonayo usiku,

Huwa unapiga picha na kumwonyesha mkeo au nduguzo?
Uko usingizini sasa unatokaje ndani ya mwili? Ni astral travel au ni kitu gani? Sijawahi kutoka ndani ya mwili nikiwa usingizini, ndio maana hiyo habari naona kama iko nusu nusu…
 
aione Kiranga
 
Ukiwa kitoho kila kitu unatambua bila kuambiwa....!!
 
Kwani nimesema walitoka kaburini?Roho zao zipo mahali ili siyo Mbinguni. Mpaka ufufuo ndipo watakwenda Mbinguni na miili mipya.

Usiwe na haraka twende polepole.
 
Kwahiyo Tz hii mliofika mbinguni ni wewe, mwl Mwakasege na Zumaridi....au sio?
Ile ya zumaridi ilikuwa kali zaidi. Manake yeye aliokuwa anaenda na kurudi Kila siku hadi anaelezea muundo wa maghorofa ya mbinguni yalivyo huko. Tena yeye aliokuwa anaenda live sio katika roho kama hao wengine
 
Amen
 
Hawajawahi kukutana huko mbinguni .. ila sababu zumaridi anaenda mara kwa mara awaulize wenzie kama washafika huko ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…