My confession: Justin Bieber kuhusu P-Diddy

My confession: Justin Bieber kuhusu P-Diddy

kwa heshima ya wajina naomba niombe taifa radhi na wote walioathirika na sakata hili

mwisho niwaombee mtoe comm kwa upole msiweke hasira huyu n binadamu pia amekosea atajibu na Mungu wake

kipeke niombee radhi kama kuna mtz toyote alihusika na hii kashfaa kiukweli inauma

na niko na mwanasheria wangu kuangalia naliondoaje herufi p

nibaki na Didy

ahsanten naamini mtamsamehee polepoleee
 
mwanangu Infro mimi huwa nakuafiki vingi lakini tunatofautiana pointi ya uchawi.
babu believe me uchawi upo.

nimefanya kazi za kitumwa kwa mabosi. bro acha tu. nimeshuhudia mambo machafu sana ya wenye pesa. acha kaka. hii dunia ni ya kipuuzi sana.

ambayo sitasahau ni mtoto mchanga alifukiwa akiwa hai nashuhudia. nazi inapasuliwa anatoka mbuzi. babu hii dunia ina mazito. ukiwa kwenye harakati zisizo rasmi unapata kuona mambo ya ajabu sana ya dunia.
Mimi sidhani kama kuna kiumbe kinaitwa shetani chenye nguvu za kichawi kimekaa mahali kinasubiri kafara itolewe kisha kitoe fedha au kikusaidie uwe maarufu.

Mimi naona haohao binadamu ndio wanafanya hivyo vitu kama conditions zao tu binafsi, za wao kukupatia wewe fedha na umaarufu.

Kama uchawi upo na una nguvu kweli za kuleta utajiri, Basi kungekuwa hakuna haja ya kujenga maviwanda ya uzalishaji, makampuni makubwa, kulima mashamba, n.k

Hizi nguvu za kichawi zingekuwa advanced kufanya hivi vitu automatically pasipo Binadamu kujiumiza sana.
 
Leo nimesikia kisauti cha burner boy sijui .......anaulilia gobore la p didy liko kunako........yule jamaa na matendo ya kishoga wala haendani kabisa ........maana giant alitakiwa awe mgumu mgumu sana kama sura yake , hivi mtoto wa kiume uliyekomaa kiafrika kabisa unapata wapi muda wa kuwashiwa moto ?? Kum@%@%##&#&#&#&@^@^ zake puff dady
Wanapenda au wanalazimishwa?
 
Kanye West speaks out on persecution of black people


“What’s happening to Diddy is what I was talking about but y’all called me cräzy. The system is simple, first they monetize you and give you powęr just so they can cõntrol you and then when they can’t cõntrol you anymore, they déstroy you.” Kanye West

"They’re ãngry with me because they can’t cõntrol me. They can cõntrol Jay-Z and Beyoncé, they can control Diddy and every other person they’re controllîng but they can’t contrõl me. They want me to be Kanye West but I’m Ye, I don’t care who you are but I’m not taking any dîsrespect from nobody. The only person who can cõntrol and even dîsrespect me if he wants is God. My mother isn’t here because she was sacrifîced. Michael Jordan sacrifîced his Daddy, Dr Dre sacrifîced his son. When you’re in Hollywood, you sacrifîce a lot just so they can give you the money and power and then cõntrol you. God loves me and that’s why I realized myself and went back to him and became Christian Ye. When I refusęd to be controlled, they didn’t have anything they could use agaînst me so they instead took awãy everythîng I had. And after they took awãy everything, Forbes Magazine who hâte me was so quick to write “Kanye West new Networth: $400-million). And I just laughed cuz I’m still a billionaire. Jesus is king and God loves me so I’m saying this truth out because as long as God is on my side, nothîng can happen to me.”


C&P
 

Attachments

  • 1727210892934.jpg
    1727210892934.jpg
    184.6 KB · Views: 7
Afrika kuwa na pesa ni kama kumiliki pepo 🤣
Mpwaa hata Uganda nimekaa kwa mdaa wale wafanyabiashara na waimbaji aka wasanii wakubwa washapigwaa nolindaa achatyu

Pesa sio sabuni tena ua rohoooò
 

Attachments

  • 1727210800427.jpg
    1727210800427.jpg
    270.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom