rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Labda akisikia waathirika wanalipwa fidia ya mamilioniMtoto wa tandale Sasa Ni wakati wake na yeye aongee kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda akisikia waathirika wanalipwa fidia ya mamilioniMtoto wa tandale Sasa Ni wakati wake na yeye aongee kitu
Hongera sana kwa kuwatwanga vijanaMkuu naitwa didy
Nineshabadili mahakaman mod wanajua kazikwao
Ngoja kwanza, Hizo kafara zinatolewa vipi?Rapa Kanye West Anasema kwamba Yanayofichuka Kwasasa kuhusu Rapa Diddy alishawahi kuyasema miaka miwili iliyopita ila Akaitwa Kichaa. Anasema aliyokua anafanya P. Diddy yanatokana Masharti Ya Jamii Ya Siri (Illuminati) Inayomuongoza.
“Mfumo Wao Ni Rahisi Tu, Kwanza Wanakupa Nguvu Ili Waweze Kuku-Control Na Pale Watakaposhindwa Kuku-Control Wanakupoteza Na kukunyang’anya Kila Kitu”
West Ametaja Pia Baadhi Ya Mastaa Wanaongozwa Na Illuminatai Akiwemo Meekmill, Diddy, Jayz, Beyonce, Dr. Dre N.k
“(Illuminat) Wana Hasira Juu Yangu Kwasababu Wameshindwa Kuni-Control. Wanawaweza Kum-Control Jay-Z Na Beyonce, Diddy Na Kila Mtu Lakini Sio Mimi. Wanataka Mimi Niwe Kanye West Lakini Mimi Ni #YE. Mtu Pekee Anayeweza Kuni-Control Na Kunivunjia Heshima Kama Akitaka Ni Mungu Tu”
“Mama Yangu Leo Hii Hayupo Kwasababu Walimtoa Kafara, Michael Jordan Alimtoa Kafara Baba Yake, Dr. Dre Alimtoa Kafara Mtoto Wake Wa Kiume”
“Kama Ukiwa Hollywood, Unatoa Kafara Nyingi Ili Tu Wakupe Nguvu, Umaarufu Na Pesa Halafu Wanaku-Control Unakuwa Chini Yao. Mungu Ananipenda Na Ndiyo Maana Nilimrudia Na Kuwa Mkristo”.
“Nilipokataa Kuwa Chini Yao Hawakuwa Na Chochote Cha Kutumia Dhidi Yangu Na Badala Yake walichukua Kila Kitu Nilichonacho Ikiwemo Dili La Adidas. Baada Ya Kuchukua Kila Kitu, Jarida La Forbes Lenye Chuki Dhidi Yangu Lilikuwa La Kwanza Kuchapisha Taarifa Kuwa (Utajiri Wa Kanye Ni Dola Mil 400), Na Niliishia Kucheka Tu Kwasababu Mimi Bado Ni Bilionea. Yesu Ni Mfalme Na Mungu Ananipenda, Hivyo Nasema Ukweli Huu Ikiwa Mungu Yupo Upande Wangu Basi Hakuna Kitu Kitanitokea” - Kanye
Kwasasa Diddy Anaandamwa Na Kesi Za Kingono Mahakamani Ambapo Amefikia Hatua Ya Kuuza Mali Na Nyumba Zake Ili Kumaliza Misala Hiyo Inayomkabili.
Naotwa Didy kwa sasaHongera sana kwa kuwatwanga vijana
Kumbe p ilikuwa Pumbu.Mkuu
Naotwa Didy kwa sasa
Maadili hayaruhusu kuendelea na P
Kama njaa jamaa asingekata $50 milioni, ni tamaa tu hamna kingineElewa neno pesa .........bana boy anawezaje kuuwasha moto marekani wakati kibunda hana............hapo jibu ni p didi anamuashia moto yule giant of afrika bila marinda sababu ya njaa..............bila njaa asingeenda kukwaruzwa marinda ......... inatakiwa ukinya kimba ukibana marinda linakatika kama limekatwa na kisu kikari
Nadhani hilo halina ubishi kabisa 🔥🔥😅😅😅😅😅 kweli kabisa
Kuna mwingine alisema waliyofanyiwa kule hayafai ku post mitandaoni, ila meneja wake akatoa hint kwamba walienda chumbani kwa diddy wakamkuta anafanyiwa massage na baadaye akamfukuza yule bint aliyekuwa akimfanyia massage.Orodha ya wasanii na watu maarufu waliopita kwa Diddy imezidi kuwa ndefu sana, lakini katika wote hao bwana Mdogo Justine Bieber hadithi yake inasikitisha zaidi, na inaumiza pia.
Justin Bieber anadaiwa kuzungumzia wakati wake na Diddy, akisema, “Kabla ya kutembelea au kwenda kwenye sherehe yake, unasaini karatasi inayosema hutajadili chochote unachokiona. Maisha yangu yalibadilika kabisa baada ya ziara hiyo.”
Akiwa na umri wa miaka 15, Justin alikuwa chini ya ushawishi wa Diddy, na video ya mtandaoni inamuonyesha Diddy akisisitiza kwamba kinachotokea kwenye mikusanyiko yao lazima kiwe siri. Justin hakuwa na hatia wakati huo( hajui lolote, bado mtoto), jambo ambalo linatufanya tuwe na wasiwasi kuhusu changamoto alizokabiliana nazo baadaye.
Justine Bieber mwenyewe aliandika haya kuhusu uzoefu wake wa miaka 16 na Diddy 😴
"Mimi hutokwa na machozi kila siku nikifikiria kuwa siwezi kurudisha hatia yangu" - Justin Bieber
"Karibu ninyi nyote mnajua hadithi yangu ya jinsi umaarufu ulivyonipata kutoka kwa umri mdogo hadi utu uzima, na wengi wenu mnavutiwa na kutamani kuwa na maisha ya kifahari ambayo yalikuwa juu yangu, yah namanisha haingenigharimu chochote kununua Rolls Royce 3 kwa usafiri na washkaji zangu, huku tukipiga barafu na wanawake wazuri wenye shape za kuvutia .
Niliishi maisha, lakini kilichoniumiza zaidi ni maisha ya kamera, wengine mnalaumu umaarufu kwamba niliamka asubuhi moja tu na kuanza kutumia M0lly(aina ya madawa) na vidonge ili niweze kujisikia vizuri, lakini hamjui chochote kuhusu Bieber. Ilikuwa ni njia ya kutoroka kwa maumivu ya kisaikolojia ambayo nisingeweza kuyapata kila ninapokumbuka saa 48 nilizokaa na Diddy, inagonga kichwa changu na kama boomerang nahisi kila mwanaume anayekuja katika maisha yangu anataka kurudia masaa 48 ya Diddy.
Nilimpata Yesu, niliacha kila kitu lakini naomba maumivu haya yaondolewe. kwa maana malaika aliyepotea ndani yangu kwa utukufu na matarajio ya ulimwengu, naomba kuzimu isinipe sehemu ya VIP.
Naomba sote tupate amani".
Wasanii wa bongo ni maskini kuliko inavyodhaniwa. Na wao pia hawako nyuma kwenye ushenzi ingawa bado hawawezi kumfikia Diddy.Ila p didy angekuja bongo angekufa na ukimwi miksa yutiyai sugu........maana kuna jamaa mmoja ni mshehereshaji alikataa ofa ya dolla mil 50 ili atoe marinda kwa did.......jamaa bado kidogo apigane .........sasa hiyo pesa iweke kwenye madafu yetu harafu apewee gigy money au staa yeyote wa kike au wa kiume .........mamaeeee utafi@%@ ra mpaka ubongo wake..........maana wanaojitahidi tu kuhongq vitz au ist huwa wanawala mpaka wazazi wa watoto wanao date nao sembuse hicho kibunda.........yaani sijui nicole,sanchi ,biriani ,shish na mapapa yote ya mjini hapa aggy sijui ..............yaani wote
Kanisa kamuachia mwanae mapema, maana!!!!!