My confession: Justin Bieber kuhusu P-Diddy

My confession: Justin Bieber kuhusu P-Diddy

Inasikitisha sana.. yule jamaa wa Tandale anakwambia mambo waliyofanya na Pdidy ni ngumu kuelezeka. So sad
Si ndio kpindi baada ya Pdidy kum-did alinunua rozi rozi halafu hela za jet akatapeliwa, hivi zilikua sh ngapi tena,,😁
 
1727601030483.png
 
Tunajua walifanya mambo mazuri mengi kwa watu hususani kwenye industry, but the only issue ni kukubali kuingia kwenye mitego ya watu weupe kama alivyosema Kanye West.... wanakupa nguvu na pesa nyingi then wanakuendesha na sisi watu weusi tulivyogo na tamaa lazima tutaingia kwenye mitego.

Sasa hivi hata walioenda kwa hiari yao na kukubali kufanya madudu kwa kuridhia kwenye jumba la Didy nao wanasema walilazimishwa🤣🤣 na ukirejea story za wasanii wengi utagundua wote walikuwa wanapenda kwenda kuparty kwa Diddy but what now..! Jamaa hawajifunzi asee

Kanye West wamemtafuta wameshindwa kupata ushahidi now wanaishia kusema jamaa ni chizi mara ooh ana mental disorder🤣🤣
 
BURNA BOY AFUNGUA ROHO
Star wa Nigeria Burna Boy amesema kuwa hakulawitiwa na Diddy baada ya kuhudhuria karamu yake nchini Marekani.

Kulingana na Burna Boy,ijapokuwa kuna madai kuwa baadhi ya waaanii walioshiriki karamu hizo waliliwa kiboga yeye hakushiriki vitendo kama hivyo.

"Lazima mfahamu kuwa hata kama kuna watu walifanyiziwa mimi sikufanyiwa vitendo hivyo."Burna amesema.

Vile Vile,Burna ameshikilia kuwa yeye si shoga hivyo basi.

Kwa sasa picha ya Burna Boy akishiriki kitendo cha ushoga na Diddy inasambaa mitandao ya kijamii.

Kushoto picha ya Burna Boy akiwa amepakatwa na mama yake na kulia Burna Boy akitumbuiza 😉 ya kulia joke
 
INGEKUWA KWETU HAPA PAMOJA NA VIDEO YA KUBAKA IPO KESI AIIISHIIIIIII

SHENZI DIDY
 
mmesikia hukooo kawapaa maagizo wakithubutu kumfunga atapasua majipu dunia ifasimama

yapi hayoo...yaleeyale ya tandale na sirizaoo
 
Back
Top Bottom