My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Mimi nahisi hiki kijamaa ni kiajuza around 50, lakini kilikuwa active sana kwenye ujana wake.
Kila Mwanaume ana stori yake Mkuu

Kama sio Ulevi, yale mambo mengine

Wengine wenye bahati mbaya, wanaangukia kwenye vyote

Inakuwa hakuna afadhali wala nafuu

Bora tumezeeka sasa 🤗
 
Uliwezaje kufanya hivyo
Wanaume tuna msemo mmoja, kwamba ngoja nipite na yule binti one time hasa ukishaona ni mali safi

Ukiingia ndiyo unakutana na hayo

Sijajua Rika lako, ila kama umri wako ni wakati, unaweza kuwa uliwahi kupitia hiyo hali

Na bora iwe ulipitia na ukajifunza enzi za ujana wako, ikitokea Uzeeni ndiyo ujue lazima ufe fukara
 
Kwan waswahili wanavyosemaga za mwizi arobaini ujui wanamaanisha nn au ngoma ikivuma sana
Sahihi, unafanya kificho ila siku Mungu akiamua kukuweka wazi ndiyo unakamatwa na hizo evidences
 
Tea... Mtoto mchanga tangu lini akawa mweusi? na pia uwezi jua kafanana na nani mtoto wa mwezi mmoja au week
 
Tea... Mtoto mchanga tangu lini akawa mweusi? na pia uwezi jua kafanana na nani mtoto wa mwezi mmoja au week
Sawa nimefanya maamuzi ya mapema kuhusu rangi ya mtoto, na vipi kuhusu hizo Kadi 5 za huyo huyo mtoto?

Ni hivi Mkuu, kama haujawahi kupitia tukio la hivi unaweza kudhani uongo

Sasa jambo la kujiuliza, nidanganye kwa kutegemea kupata Nini humu jukwaani?

Sijawahi kuona Melo analipa watu humu kwa kuandika

Kwa kifupi ni hivi, katika Wanawake watano wenye ujauzito, ujue Kuna Wanawake 3 mimba zao zina Baba wawili ama zaidi wanatunza hiyo mimba

Na kujua hayo inahitaji akili za ziada, ukiwa poyoyo utalea mimba, mtoto hadi anafika Chuo Kikuu bila kujua

Hapa jirani yangu, Kuna jamaa kalea mimba hadi mtoto kafika darasa la 3, then akajitokeza Baba halisi wa huyo mtoto akaja kumchukua 🙌
 
Pole sana mzee mwenzangu,
Na hii pension inabidi utulivu uwe wa kiwango kikubwa sana. Hawa wenzetu kukuchanganya ni dk sifuri tu.

Binafsi sina uzoefu na watu wa aina hiyo, huenda ni huu utulivu niliojaliwa🤣🤣sina mambo mengi!!
Nyoooo😂😂😂
 
Zile ni picha za mwaka 47 Mjukuu

Kama huamini, njoo unisalimie weekend hii unione. Muhimu uje ni Kiko tu 🤗
Kila siku kiko na nishakukataza hamia huku kwetu 420💚

Nije unifyatue ubongo! Akhuu😂😂 we okoteza wengine hao mi nitumie humuhumu🤣🤝🏽
 
Watu wanapenda kuzalia watu aisee😂🤝🏽
Of course mimba wanachukulia kama kinga ya kulinda mahusiano yao

Kitu wasichojua, Wanaume hatupendi hizo unplanned pregnancies

Na Mwanaume anachepuka kwaajili ya starehe tu na kufanya fantasies zake

Kama watoto anao kwa mke wake huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…