Ngoja waje wanaokujua vyema sasa, wengine tunapita tuπππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈSasampa zitatoka ila kwa sharti la kuzifata
Bila kujiongeza na hili baridi mbona nitakufa Babu yenu
Uzinzi na wewe ni hivi π€π½Wasiwasi wako tu π€
Hiyo kauli mguu begani mbona inataka kuamsha vilivyolala
Kama Kuna mtu anashinda jukwaani asiwe hata na kikombe cha kahawa, mbona atakuwa anajitesaHebu punguza kuchati ukalee wazee wenzio huko wasije fia jukwaaniππ
Endelea kuwasubiri mna match ya week nzimaπKama Kuna mtu anashinda jukwaani asiwe hata na kikombe cha kahawa, mbona atakuwa anajitesa
Mwenzao nimeshaletewa lunch bag kitambo nashushia na juice ya tende
Si nimeambiwa jioni Kuna jambo letu
Waongo hawataki wapi buanaa πΉπΉHahaha......mwambie huu ni utani wa Babu na Wajukuu zake tu
Kwanza wajukuu wenyewe wananigwaya, eti hawataki Mzee wa sekunde 20 π€
Wewe muongooo πΉπΉπΉSihitaji hata kumuona aiseeπ watu tunajifurahisha zetu na hatuna hiyo mipango ya kuonana na watu wa mitandaoni mabibi wanakuwa serious sana nyooh!!
Uongo wangu nini hapo bidadaπWewe muongooo πΉπΉπΉ
Halafu acha kunirudisha nishaambiwa niondoke hapa..!!
We mbona sitaki nataka?Uongo wangu nini hapo bidadaπ
Akhaa mambo ya kuonana na watu kisa wana mafurushi tumewaachia nyieπ
Mwambie aje akuondoe sasa why hajiamini mweeπ€£π
Mwanzoni nilijua utani kumbe wenzetu mpo serious lolππWe mbona sitaki nataka?
Babu humtaki huku unamtaka ugomvi bibi?
Hebu funguka msichana basi πΉπΉπΉ
Yeye bibi anatoa order level zake sio za kupayuka hapa..!!
Utolewe wapi wakati ushajiingiza? πΉπΉπΉMwanzoni nilijua utani kumbe wenzetu mpo serious lolππ
Mi mnitoe kwenye huo upumbavu aisee, hana hizo mbavu za kugombana namm nyoo! Eti levels sasa jf anafanyann kama ana levels zake! Acha sie tusio na leveks tupayuke hahahaa
Ni story ndefu sana mkuuPole sana Mkuu, what happened
Usipojikwaa kwenye haya matukio katika ujana wako, jiandae katika Uzee wako
We sema tu maana uko serious sana na jukwaaπ€£π€£Utolewe wapi wakati ushajiingiza? πΉπΉπΉ
Relaaaaaxxx usipandishe sugar, bibi hawezi kugombana na wewe..!!
Bibi mzungu, em niache kwanza nitasema visivyotakiwa kusemwa..!! πββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈ
Duhh pole sana aiseeπNi story ndefu sana mkuu
tofauti mimi alikuwa mchumba kabisa kwao natumbilika na kwetu anatambulika..
ile mimba yake ilinitesa kuanzia mwanzo mpaka anaenda kujifungua..
Alienda kujifungulia mkoani kwa ma mkwe mimi nilikuwa dar
Chata likatoka sio langu akagoma kurudi dar..
Nikawa natuma hela kwa mtoto mpk miezi 9 mtoto akafariki
Msala ukaanzia hapo baba halisi anataka mwanae azwike kwa imani ya kiislam..mtiti ukaanza..
Nimechoka kuandika mkuu..
Niseme ili upate ABC za kuanzia?We sema tu maana uko serious sana na jukwaaπ€£π€£
Kwakweli wenye wapenzi wenu humu mtakoma aisee! sukari zitapanda sana maana wengine tunapoteza muda tu!
Kwani we unanijua nikoje? Unaongea kama Unanijua vile, Kwakweli nilijua utani, aisee mambo ni mengiπNiseme ili upate ABC za kuanzia?
Naijua hiyo πΉπΉπΉ
Hakuna wa kumpandisha sukari au wewe unahisi kuna mtu unaweza kumpandisha sukari?? πΉπΉπΉ
Em seran relaaaxx acha kupoteza energy, halafu mimi nilikua nampa ujumbe babu nikashangaa umedandiaβ¦!! Hapo sijakuelewa wakati hukutajwa π€
JF ni kichaka hiki πΉπΉπΉKwani we unanijua nikoje? Unaongea kama Unanijua vile, Kwakweli nilijua utani, aisee mambo ni mengiπ
Haya nimewapisha na babu akeeeπππππ½ππ½ππ½ππ½
Duhh kiukweli nilijua utani! Sijawahi kuwaza kuna mambo serious kiasi cha kurusha madongo mweeeeππ Unaexpect kabisa niandike kitu changu kwa commentsπ huyo bibi ni wewe usinichoshe! Nimepokea asante yako na hakuna kinachoniuma na sijui mtu! Niumie mtu simjui hii si bangi kbsπ€¦π½ββοΈJF ni kichaka hiki πΉπΉπΉ
Aisee nakujua ni id tu umebadilisha
Bibi kasema eti nikupe pole kwa kuchanwa πββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈ
Ni utani wala usimind ila nimeshangaa ujumbe wa bibi kwa babu ulivyokuuma..!!π
Mimi mjukuu wa babu mabibi wote nawapokea sina baya, wee si umesema weekend unaenda? Haina shida bibi mdogo booking yako iko pale pale okay? πΉπΉπΉ
Sasa mbona unaanza kumind utani? πΉπΉDuhh kiukweli nilijua utani! Sijawahi kuwaza kuna mambo serious kiasi cha kurusha madongo mweeeeππ Unaexpect kabisa niandike kitu changu kwa commentsπ huyo bibi ni wewe usinichoshe! Nimepokea asante yako na hakuna kinachoniuma na sijui mtu! Niumie mtu simjui hii si bangi kbsπ€¦π½ββοΈ
And btw! Huyo mtu ambaye huwa unamhisi ni mm sio! Na ata yeye anajua unahisi mimi ndio yeye na anaona! Sio mimi sina muda wa kubadili id kwa ujinga wa jfππ€π½
Kwamba ni siri yaliyomo humu?Sasa mbona unaanza kumind utani? πΉπΉ
Si tumekubaliana utani..!!
Babu gram sio bwanangu watakucheka watuβ¦!! πΉ
Ni wewe hii id yako nyingine..!! πΉ
JF ina ujinga gani? Wewe si mgeni lakini?
Umejuaje km kuna ujinga??