My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Mbona unaongea kama una uhakika Mjukuu

Masuria na Umri huu Babu yenu naanzia wapi?

Kumbuka Babu yenu nina ugonjwa wa Presha ujue 😎
😂😂😂😂😂
Ila Gran pah una heka heka ujue?? Sasa mie au uzi nimekuta hizo shengeshaaa?
Jamaniiiiii. Lol
 
😂😂😂😂😂
Ila Gran pah una heka heka ujue?? Sasa mie au uzi nimekuta hizo shengeshaaa?
Jamaniiiiii. Lol
Bora umenitoa wasiwasi Babu yako, nikawa najiuliza hayo mambo ya mwaka 47 Mjukuu umejuaje 🤪

Fanya mpango likizo ijayo uje kunitembelea Babu yako

Mimi na Bibi yako tumekukumbuka sana 🤗
 
Bora umenitoa wasiwasi Babu yako, nikawa najiuliza hayo mambo ya mwaka 47 Mjukuu umejuaje 🤪

Fanya mpango likizo ijayo uje kunitembelea Babu yako

Mimi na Bibi yako tumekukumbuka sana 🤗
Wachaaaa Wee!! afu Likizo gani tenaa??
Mbona sina Likizo kabisaa, niko Free every time.
 
Wachaaaa Wee!! afu Likizo gani tenaa??
Mbona sina Likizo kabisaa, niko Free every time.
Kumbe uko free, haya jiandae uje kututembelea mwezi ujao

Mimi na Bibi yako tunakusubiri kwa hamu 🤗
 
Halafu babu acha uongo wewe yule bibi uliyemtumia ticket ya flight mwaka juzi mkakutana dom hujampata humu??

Na yule mwenye shape lake vipi 😹😹😹

Weeh endelea kukana kina bibi niwaanike hapa upate kesi ya kujibu maana hawajuani. Shauriloo 🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️
 
Leo nipo shambani na sijatembea na dawa zangu za Presha

Nionee huruma Babu yako, Mimi na akina Bibi wapi na wapi 🤭
 
Leo nipo shambani na sijatembea na dawa zangu za Presha

Nionee huruma Babu yako, Mimi na akina Bibi wapi na wapi 🤭
Basi babu nimeacha.
Hata hivyo mwezi mtukufu huu haitakiwi kuwapandisha presha wazee..!! 😹
 
Sasa kwanini mojawapo la suria 'bibi' anajidai kumpigia mapande 'babu' kwa masuria mengine halafu akiona mkeka unaelekea kutiki anachafukwa nafsi?🤗
Wewe nyoko mimi sio suria la babu, mimi dalali wake.

Yani babu awe wangu afu nimpigie pasi awww thubutuuu..!! Kwanza huu uzi asingeuleta hapa, ningeuletea figisu mpaka mods wangeufuta chap..!!

Wewe sema kama umemuelewa babu na una sura ya kutazamika au una kishundu njoo nikupeleke kwa babu ukakalie mtulinga uokote…!! 😹😹😹
 
Wake zenu wapole sana ndo maana mnamwaga ndani
Unajua hata nikipata mtoto nitampelekea tu
Mi niko radhi ni adopt mayatima kituo kizima
Ila silei goli lake
Na anajua hilo
Kwa hiyo atafute inayonfaa akienda nje
Ni either rough rider au durex
Na atafute nzuri tu inayomfaa
Imagne watu watano kwa mwanamke mmoja
Na shukuru tu ni Mimba
ungemletea mwenzako ukimwi.... jamani
 
Mahi na shem mko sawa sasa hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…