My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Ni rahisi sana kuchambua tukio lililotokea na kuona makosa lakini ungekutana na situation kama hiyo si ajabu na wewe ungefanya makosa ya kijinga zaidi ya hayo.
 

Pima DNA mkuu, Ada 1,200,000/= DNA haizidi 500,000/=
 
Sasa Mkuu hii inaweza kuwa Chai maana unasema ni zamani sana na hakukuwa na Simu yenye optionya Block, then unasema tena ulikuwa unatumia Whatsap mimi navyojua whatsap ilianzishwa Mwaka 2009 na Mwaka 2012 ndio ilianza Rasmi kutumika kabla ya hapo ilikuwa inatumiwa tu na wafanyakazi wa Yahoo
 
Pole sana mkuu nimejifunza wanawake siyo wa kuwaamini pia hiyo ilikuwa kama karma kwako kwakumsaliti Bimkubwa
 
Halafu bichwa komwe tuheshimiane 😹
adriz njoo mchukue mtu wako..!!
Baby why are you so rude to me 😭😭😭😭😭😭. Don't leave me baby I'll be lost if I lost you, i can't live without you. Am going to kill my fuckin self if you leave me.

adriz my younger brother please help me am in love with the most beautiful woman in JF.
 
 
Mtongozo wa kiutuzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…