My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Kenya inaisifu Tanzania!

Wapigaji kwa makusudi kabisa wanafurahia mfumo huo ili pawepo na mianya ya kutosha ya uchotaji wa fedha. Hii mifumo ilipoanza kupambaniwa na IMF walikuwa wa kwanza kuipokea ila wakatafuta namna ya kutoiendeleza. Kule kuna mafisadi papa. Baada ya miaka mitano tena watarudi kubenchmark
 
Kwa hivi karibuni trend ya uchumi wa Tanzania, mapambano dhidi ya Rushwa, harakati za matumizi ya nishati safi, ujenzi wa miundombinu na maboresho makubwa katika utumishi wa umma huyu mama Samia anastahili pongezi za pekee!
Sina shaka umetembelewa na Bwana Abduli. Watu wengine akili zenu zote zimo tumboni.
Ni "...mapambano yapi dhidi ya rushwa" yanayokuzima akili kama siyo pochi la Abduli?
Haki yako ya kupiga kura kuwachagua viongozi wako kwa kutumia akili yako mwenyewe huoni umuhimu wake ?

Nilikuwa sahihi nilipo kugundua hivi karibuni kuwa umeingiliwa na gonjwa kichwani mwako.
 
Yapo mawili, Kalipwa au Katekwa, Usisahau ya Ole Mushi kukanusha kulishwa sumu hadi akafa
 
Nadhani hata wakionyesha uwazi (ambao hata huku haupo) ni pamoja na kuweka vitu ambavyo wanasema wameweka wazi (mfano safari kama hizi, na kuna moja wabunge walikwenda nchi za nje kuangalia mapishi ya huko Malaysia ili waje waboreshe mapochopocho bungeni.., utashangaa kama ilikuwa na tija kwanini wasingewatuma wapishi)...

Hivyo na hili huenda ni katika safari zao za ku justify matumizi (Uwazi wangeanzia kuonyesha ni pesa ngapi wametumia katika huu Usanii)
 
Mtu kama huyu mleta mada hii ni dhahiri anasukumwa na maslahi, hana msimamo wa kujitegemea katika fikra zake kuhusu maswala kama haya. Hii ipo wazi kabisa hata katika uwasilishaji wa mada husika.
Huyu kaingizwa kwenye uchawa.
 
Nami nilishangaa kama wewe, kwa sababu huyu mtu zamani nilimwona vingine na alivyo sasa!
Tangu Mbowe ashindwe uchaguzi, ameamua kurudi kwa Samia huku akijiapiza kuwa Lissu ni lazima akiue chama. Very interesting!
 
Wanawake kwa kusifiana mko vizuri. Na bado hujasema hadi useme.
 
Nami nilishangaa kama wewe, kwa sababu huyu mtu zamani nilimwona vingine na alivyo sasa!
Toka Mbowe ameshindwa kashindwa kukaa sawa. Anaulazimisha uchawa ili apate faraja, lakini chawa halisi hawamtaki maana wanajua ana maluelue ya uchaguzi.
 
Toka Mbowe ameshindwa kashindwa kukaa sawa. Anaulazimisha uchawa ili apate faraja, lakini chawa halisi hawamtaki maana wanajua ana maluelue ya uchaguzi.
Ahaah. Kumbe?
 
Umeisikiliza clip vizuri lakini?
 
Tangu Mbowe ashindwe uchaguzi, ameamua kurudi kwa Samia huku akijiapiza kuwa Lissu ni lazima akiue chama. Very interesting!
Pole sana sana! Sijarudi kokote zaidi ya kuwa na free mind!! Mimi sigeuzi watu miungu Kama ambavyo ninyi mnawaona mnaofikiri ni aatakatifu sana! Uzuri hivi vitu huwa vina muda! Muda husema na kuamua kwa haki!

Msikilize lipumba hapa!!
 

Attachments

  • v09044g40000cv47ijfog65rr1aunm8g.mp4
    13.5 MB

We ni mtu wa hovyo sana kufikiri
 
Umisikiliza video clip vizuri lakini? Huyo anaeisifia Tanzania si Mimi Bali ni CAG kutoka Nchi mnayoihusudu sana KENYA!!

ni kweli katika mapambano dhidi ya Rushwa huyu mama ana maua yake!!

Kama una ajenda nyingine tofauti na hii unaweza kuianzishia uzi!
 

Attachments

  • v09044g40000cv47ijfog65rr1aunm8g.mp4
    13.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…