Hivi kwanini wanasiasa wengi ukiacha habari za chaguzi huwa mnafunika macho kuona mengine?Off course watu wanapolalamikia mambo haimaanishi kila kinachofanyika nchini ni kibaya. Watu wanalalamikia mabaya.
Cha maana hapa na wao waende Kenya kujifunza mazuri ya huko watuletee hapa kama vile Tume huru.
Ukiipenda nchi yako, huwezi kupenda kila wanachofanya wanasiasa.Hivi kwanini wanasiasa wengi ukiacha habari za chaguzi huwa mnafunika macho kuona mengine?
Yule ni mwanasiasa. Na wanasiasa wote wako.Ukimsikiliza Lissu ni habari za uchaguzi na tume huru tu sijawai msikia akijadili habari za kumkwamua maskini wa Tanzania!
Haya maneno uliwahi kutamka hivyo hata kabla ya Mbowe kula kibano?Ukimsikiliza Lissu ni habari za uchaguzi na tume huru tu sijawai msikia akijadili habari za kumkwamua maskini wa Tanzania!
Mtu hufa ila matendo yake mabaya/mazuri hudumu milele.Ulitaka nimsifu Magufuli wakati hatuko naye?
Bado hujasema!!😂 😂 Kweli Mbowe alikuwa mtu wa hovyo sana pale chadema! Ona wafuasi wake akili zao!
Baada ya Mbowe kupigwa chini mleta mada amekuwa na mawenge hatimae karudi kumsifia Samia kama ilivyo kwa boss wake Mbowe!
Hakika Mbowe alikuwa kirusi chadema
Nimemkosoa sana Lissu kuhusu hotuba zake kuwa ajitahidi sana kugusia Uhalisia wa maisha ya Mtanzania….. si rahisi bibi yangu wa Kiraracha akaelewa mambo ya katiba kuanzia asubuhi mpaka jioni!Haya maneno uliwahi kutamka hivyo hata kabla ya Mbowe kula kibano?
Wewe ni CHADEMA??Nimemkosoa sana Lissu kuhusu hotuba zake kuwa ajitahidi sana kugusia Uhalisia wa maisha ya Mtanzania….. si rahisi bibi yangu wa Kiraracha akaelewa mambo ya katiba kuanzia asubuhi mpaka jioni!
Unafikiri hatukujui humu jukwani?Nimemkosoa sana Lissu kuhusu hotuba zake kuwa ajitahidi sana kugusia Uhalisia wa maisha ya Mtanzania….. si rahisi bibi yangu wa Kiraracha akaelewa mambo ya katiba kuanzia asubuhi mpaka jioni!
Na huko ndio mumeo anakouzia unga sana.Hivi vitu akina Tindo Proved Mrs besigye Lord denning hawavijui wanasubiri story Za akina Lissu Kuhusu kenya
Siyo kahaba mkuu.Ama kweli muda unakimbia umefikia pakuwaita makahaba’dear’
Sijasikia, ila najua ww una makasiriko baada ya basha wako kushindwa kihalali.Kenya wanajifunza TZ juu ya matumizi bora ya pesa umesikia hiyo?