Eeeheeee hiyo hiyo sisi tulìkuwa nayo early 90 nikiwa bado katoto lakini hadi nimefika secondary tunayo...Ila za siku hizi sasa!Hizo TV za HITACHI ya chogo za zamani zinadumu sana. Kuna moja nakumbuka ilikuwepo home tuliangalia Olympics za 1988 mpaka miaka ya 2000s ilikuwepo. Ina kimeza chake fulani kina matairi hivi 😂😂😂.
Asante kwa ushauri mkuu.Hao madogo wape manual activities na unapokuwa na muda unakuwa karibu kama kuchora, afundishe michezo tofauti ambayo hawaijui, asubuh wakiamka unafanya nao usafi, mpaka wazazi warudi wameshabadilika. Hao Kuna v trick vidogo vidogo.
Wanafanya makusudi zisidumu, zikidumu sana utakuwa hununui tena.Eeeheeee hiyo hiyo sisi tulìkuwa nayo early 90 nikiwa bado katoto lakini hadi nimefika secondary tunayo...Ila za siku hizi sasa!
😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣Yaani ningehakikisha hiyo Sumsung ya mwanao naimwagia super glue sehemu yeyote yenye upenyo kabla sijaondoka hapo kwako....tena gud enough your boy kanirahishia hapo alivyotupatupa vitu nimeiona super glue
Ungejuta kutufahamu mbona 😂😂😂🤣🤣🤣Wewe naona unatakq kuua urafiki na hao nduguzo wakitoka huko majuu wakute unawatazamisha kina junya solarmax
Nimeingia chumban kwa mwanangu nikakumbuka hii comment yako japo ni utani ila nikajisemea sometimes mama wa kambo wanaonewa😀.
Hivi imagine wewe na Lamomy ndo mngekua mawifi zangu hlf mnakuja mnakuta mwanangu nilokutwa nae ana TV ya Samsung room kwake halafu damu za kaka yenu zinaangalia Solarmax aka umiza macho si mngenila nyama nyie?😀😀
View attachment 3109640View attachment 3109647Na hapo ukute nimenunua kwa upendo tena na hela zangu ila ndo hivyo ukiwa mama wa kambo lazima uonekane umependelea wa kwako😀
Na unaachika hivi hivi ukijiona maana mashangazi lazima waongeze na chumvi hadi kaka yao aamini kaoa jini😀😀Ungejuta kutufahamu mbona 😂😂😂
Yani mwanao umumwekee Samsung wa mke mwenzio umuwekee solarmax ili apate shida ya macho?!! Ungepewa talaka nginjanginja na kaka 😹
Asante, tuko pamoja.Asante kwa marekebisho mkuu🙏🏼
Hizo za Mchina labda.😀😀
Ingekua hizi wanatuletea isingepona.
Hizi unatizama vizuri unazima haina shida badae unawasha haiwaki na haijaguswa na mtu😀
Hizo hizo yaani.Hizo za Mchina labda.
Tena zile walizoziweka maalum za kupelekwa Africa.
Unanikumbusha kuna dogo alikuja kunitembelea huku US kutoka Tanzania. Alikuwa jirani yetu wa zamani tumekua pamoja, nikafurahi sana kuonana naye kaja kwangu kunitembelea.Hizo hizo yaani.
Mchina kafanya Afrila jalala la vitu vibovu kiasi kwamba kuna watu wengi hapa Tz ukimwambia kuwa kuna made in China za ubora wa hali ya juu hawaamini.
Hiyo namba umekuwa nayo kwa muda gani?View attachment 3110083
OUT OF TOPIC WAKUU🙏
Kuna hii sms nimetumiwa juzi nikaogopa ila kila ninayemuuliza hajui.
Eti wakuu hawa si ndio wa mikopo ya online wanaodhalilishaga watu?
Hapo wanaposema "UMEKUA MMOJA WA WAPOKEAJI WA MKOPO WETU"
wanamaanisha nini?Pananiogopesha!☹️
Namba zangu wamepata wapi ikiwa sijawahi hata kuwaza ku apply hiyo mikopo?
Au ni matapeli?
Hivi inawezekana mtu ku apply hiyo mikopo kwa jina langu?
Half american mshamba_hachekwi Pendaelli
Atoto
Elsa Marie
Evelyn Salt
Equation x
The Monk
cocastic
Hajakosea.Unanikumbusha kuna dogo alikuja kunitembelea huku US kutoka Tanzania. Alikuwa jirani yetu wa zamani tumekua pamoja, nikafurahi sana kuonana naye kaja kwangu kunitembelea.
Akawa anaangalia viatu fulani hivi kwangu, anasema viatu vikali sana.
Nikamwambia hivyo vya kawaida tu, tena vya Mchina hivyo. Alikuwa kama anavitaka, mimi nilikuwa kama namtahadharisha kuwa vinaweza kum disappoint.
Akaniambia hata kama vya Mchina, vya Mchina vinavyoletwa huku US na vinavyoletwa Africa ni tofauti kabisa.
Nikasema si utani.