My week end is super crazy

Hakika hili ni jambo jema sana kuwa na malezi ya pamoja, sio kila mzazi anavutia kwake
 
Nimekupata mkuu na asante kwa kunikosoa na kunipa miongozo ya vile nilipaswa kufanyaπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ

Hapo pakuulizia wanapendelea nini sikuona haja sbb niliona mimi ni mama kama naweza kuishi na mwanangu na wao nitaweza na pia nilijua kama ni chakula tutakula tunachokula ila ikawa tofauti kwan asubuhi ya kwanza kupata nao breakfast ndo nikajua hawa ni tofauti.Hawa wanakula wanachotaka na sio kilichopo na hawaelewi lugha yeyoye ya vitisho wala kubembelezwa zaidi ya kupata wanchotaka.

2 na 3) Nilijaribu kufanya hivyo but I failed!Ujue mkuu kubadilisha mindset ya mtoto aliyelelewa hivyo kwa miaka 8 kwa wiki moja sio rahisi.Ukiforce wabadilike haraka utaathiri watoto wa watu kisaikolojia,inabidi kwenda nao polepole.

Ukija upande wangu mkuu niliona stress zitaniua,kama unavyojua mtu mzima kichwa kinakua na stress za mihangaiko hlf ukiwa nyumban badala ya kurelax unaongezewa stress za kugombea remote nikaona bora tu kila mtoto apate tv yake nipumue.
 
Kuna watu wana malezi utadhani wa na guarantee ya kuishi miaka 100 na kuwa na uchumi mkubwa hadi wafe.

Hayo ni malezi mabovu sana, mtu anayejitambua hawezi kuruhusu.
Kabisa mkuu.
 
Wafanye kuwa rafiki zako, usikubali kuwapa kila wanachokitaka hata kama una uwezo nacho.

Kila mtoto ana kitu anachopenda kukifanya au kujifunza. Wafundishe kazi za mikono, nyumbani kama kuna maua wafundishe kumwagilia hapa utawapata watoto wengi sababu wanapenda kucheza na maji.

Kama kuna gari wafundishe kuosha, na unawapa ahadi wakiosha vizuri utawapeleka sehemu X. Sandals,nguo na sleepers zao waambie wazioshe wenyewe hata kama hazitotakata waache wacheze hapo kwa kazi hiyo. Watoto wakiwa wawili au zaidi hupenda kushindana na kila mmoja anataka afanye vizuri zaidi ya mwenzake.
 
πŸ™πŸ™πŸ™
Asante kwa ushauri mkuu
Nitafanya hivyo.
 
Nitafanya hivyo.
Nashangaa wa kwangu nilikua naweza kuchapa(siku hizi tunaongea tu) ila wa watu nashindwa.

Nimeongea na mwl. Wa sunday school awape mafunzo ya ziada vile mtoto wa Yesu anapaswa kuwa.
Hapo safi mkuu
 
Asante sana Mkuu Ameshazoea kabisa Mungu ni Mwema.
 
😁😁😁sawa dada padri,ila ni LG tena sio Solarmax?au unaniagizia yangu mpya?
Kwa umri huu tuliofikia sio wa kutizama brand hazieleweki tufe macho bure ndugu yanguπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…