My week end is super crazy

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Ila watoto wana visa jamani๐Ÿ˜€
Nimempigia picha huyo dogo nimejikuta nacheka๐Ÿ˜€

Ila pamoja na hekaheka zao zote huwa wanaburudisha sana.

Wana uwezo wa kukukera mpaka ukatamani kumtupa dirishani hlf ndani ya dakika akakufanya utabasamu na usahau yote๐Ÿ˜€
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃWewe naona unatakq kuua urafiki na hao nduguzo wakitoka huko majuu wakute unawatazamisha kina junya solarmax
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Naona๐Ÿ˜€
Kwangu ni jambo la ajabu kidogo
Kuna watu wana TV halafu wanaombea ziharibike ili wapate sababu ya kununua TV mpya kali zaidi.

Lakini zina wa disappoint haziharibiki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hahaha
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃWewe naona unatakq kuua urafiki na hao nduguzo wakitoka huko majuu wakute unawatazamisha kina junya solarmax

Nimeingia chumban kwa mwanangu nikakumbuka hii comment yako japo ni utani ila nikajisemea sometimes mama wa kambo wanaonewa๐Ÿ˜€.

Hivi imagine wewe na Lamomy ndo mngekua mawifi zangu hlf mnakuja mnakuta mwanangu nilokutwa nae ana TV ya Samsung room kwake halafu damu za kaka yenu zinaangalia Solarmax aka umiza macho si mngenila nyama nyie?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Na hapo ukute nimenunua kwa upendo tena na hela zangu ila ndo hivyo ukiwa mama wa kambo lazima uonekane umependelea wa kwako๐Ÿ˜€
 
Kuna watu wana TV halafu wanaombea ziharibike ili wapate sababu ya kununua TV mpya kali zaidi.

Lakini zina wa disappoint haziharibiki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Mwishowe inabidi tu ufanye maamuzi magumu zitoke uingize kitu latest๐Ÿ˜€
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Mwishowe inabidi tu ufanye maamuzi magumu zitoke uingize kitu latest๐Ÿ˜€
Kuna ma TV ya zamani yanadumu sana mpaka unataka yaangalie Kibla tu yaanguke.

Kuna wakati nilinunua kitu Samsung, basi ile stand nikawa nimeiweka halafu haijakaa vizuri.

Nilikwenda kazini asubuhi, nikarudi nikakuta TV imeanguka chini, palikuwa na carpet zuri. Huwezi kuamini ile TV ilidunda poa tu na mpaka leo inafanya kazi haina tatizo hata moja. Hiyo ilikuwa miaka kama 11 iliyopita.

Mtu unataka kuitupa uweke mpya lakini unakosa sababu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hao madogo wape manual activities na unapokuwa na muda unakuwa karibu kama kuchora, afundishe michezo tofauti ambayo hawaijui, asubuh wakiamka unafanya nao usafi, mpaka wazazi warudi wameshabadilika. Hao Kuna v trick vidogo vidogo.
 
Wanatakiwa walale njaa siku moja
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃYaani ningehakikisha hiyo Sumsung ya mwanao naimwagia super glue sehemu yeyote yenye upenyo kabla sijaondoka hapo kwako....tena gud enough your boy kanirahishia hapo alivyotupatupa vitu nimeiona super glue
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Naona ulivyoiona hapo chini ulijua ndo kwisha habari yake kumbe yenyewe inakwambia mimi na wewe hadi kifo kitutenganishe๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Naona ulivyoiona hapo chini ulijua ndo kwisha habari yake kumbe yenyewe inakwambia mimi na wewe hadi kifo kitutenganishe๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Yani mpaka leo ipo chumba cha wageni huwa naiangalia nasema "Wewe Mkorea una roho ngumu sana" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Dah umenikumbusha home tuliwahi kuwa na HITACHI ya chogo jamani ile ni roho ya paka ilibidi tu i phase out japo haina tatizo...ipo hadi leo
 
Dah umenikumbusha home tuliwahi kuwa na HITACHI ya chogo jamani ile ni roho ya paka ilibidi tu i phase out japo haina tatizo...ipo hadi leo
Hizo TV za HITACHI ya chogo za zamani zinadumu sana. Kuna moja nakumbuka ilikuwepo home tuliangalia Olympics za 1988 mpaka miaka ya 2000s ilikuwepo. Ina kimeza chake fulani kina matairi hivi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ