Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Kwa taarifa yako, kiswahili chenyewe kina maneno mengi sana ya kiarabu. Je na wewe unajifunzwla mambo ya waarabu? Acha udini
 
Kwa taarifa yako, kiswahili chenyewe kina maneno mengi sana ya kiarabu. Je na wewe unajifunzwla mambo ya waarabu? Acha udini

Hakuna aya yoyote kwenye quran imeitaja lugha ya kiswahili

Ila kuna aya nyingi zimeitaja kabisa lugha ya kiarabu.

Ingekuwa ni yetu quran ingeandika nimeteremshwa kwa lugha yenu ya kiswahili kwa ajili ya waswahili wote
 
Kajamaa kanaweza kuvunja hata vidole vya hao watoto. Acha kanyee ndoo kidogo.
 
Hii tafsiri ipo kwenye Quran zote zilizotafsiriwa kiswahili.. kama unabisha leta screen shot ya hii aya kutoka kwenye quran yoyote ya kiswahili tuone kama hakuna neno lugha yenu ya kiarabu

View attachment 3242141
Hayo uliyosoma wewe ni maelezo ya mtu binafsi na tafsiri sahihi ya aya hiyo hapo juu ndio unayopaswa kuizingatia na si hayo maandishi madogo yaliyotolewa na mtu binafsi
 
Mzazi mjinga na mpuuzi.Inashangaza kuna taasisi za kiislamu zimemuunga mkono.Huyo mzazi kama ametumika kutaka kudhalilisha madrasa za kiislamu.
Mwalimu hajapiga kama ngombe kama alivyodai.
Mahakama imuwachie mara moja,
 
Madrasa sehemu ya kufundishana imani why wew ostadhi umchape mtoto kiasi cha mzazi kukuchukulia hatua ukiona hivyo ostadhi amevuka mipaka mzazi anapokaa kimya kwenye matukio kama haya Badae madhara yanapokuja kuwa makubwa mnageuka tena huyo mzazi amewakilisha wengi na ukitaka kujua hilo mtoto mmoja mmoja aitwe ahojiwe unaweza kusikia mengi zaidi
 
Hata huko ulaya kuna watoto wengi hawana maadili
Haya njooni na njia sahihi namna ya kuwafundisha watoto
Ila kwa upande wangu wala sioni sababu ya mtu kuhangaika na watoto wa watu eti uwafundishe
Nidhamu,...ni kuachana naooo watajijua wao na wazazi wao
Mitoto yenyewe sahv ishakata kamba ....mitoto midg milayyy tu

Ova
 
Mzazi mjinga na mpuuzi.Inashangaza kuna taasisi za kiislamu zimemuunga mkono.Huyo mzazi kama ametumika kutaka kudhalilisha madrasa za kiislamu.
Mwalimu hajapiga kama ngombe kama alivyodai.
Mahakama imuwachie mara moja,
Dawa ni kuachana na watoto wa watu....mitoto yenyewe sahv ukiipiga inaweza kufia
Mitoto yenyewe ukisema uwalimishe au wachimba kashimo wanaweza kuzimia
Mitoto ya kizaz hiki ni kuiacha tu

Ova
 
Dawa ni kuachana na watoto wa watu....mitoto yenyewe sahv ukiipiga inaweza kufia
Mitoto yenyewe ukisema uwalimishe au wachimba kashimo wanaweza kuzimia
Mitoto ya kizaz hiki ni kuiacha tu

Ova
Sio kuiacha tu bali ni kupambana na wajinga wanaotaka kutuletea upuuzi wa wazungu.Yule mzazi kama ana mtoto wake basi ndio apewe mwenyewe akaangalie nae michezo ya kuigiza kwenye tv halafu aone kitakachomkuta huko mbele.
 
Hayo uliyosoma wewe ni maelezo ya mtu binafsi na tafsiri sahihi ya aya hiyo hapo juu ndio unayopaswa kuizingatia na si hayo maandishi madogo yaliyotolewa na mtu binafsi

kama unabisha leta screen shot ya hii aya ama piga picha ya aya hii kutoka kwenye quran yoyote ya kiswahili tuone kama hakuna neno lugha yenu ya kiarabu
 
Kweli Tz Ina LAANA unaacha kumpeleka mwanao tuitions au kujifunza mambo ya IT eti unampeleka Madrasa mwisho alawi........ ni unshenzi
 
Ndio mana waislamu wengi wamejaa jazba na hasira,kumbe ni kwasababu ya bakora wanazo tandikwa tangu wakiwa watoto wadogo huko madrasa,wakikaririshwa juzuu hata bila kuelewa.
 
Shida sio kuchapwa ilikuaje mwalimu akajirekodi na kumlekodi mtoto kipindi anatoa hyo adhabu ya viboko unahisi mwalimu alitumia ustarabu na hekima katika kurekod au unaleta mihemko ushawaza kawaumiza watoto wangapi kiakili juu ya hilo tukio la kurekodi na maneno aliyokua anatowa kipindi cha adhabu hyo acha kutetea ujinga unataka mtoto aone kusoma dini ni adhabu au?
 
Nimekwambie tafsiri sahihi ya aya ni hiyo juu iliyoandikwa kwa herufi bolded
Halafu hayo chini ni maelezo ya mtu binafsi wewe huoni kuwa yameongezwa maelezo mengi?

Bolded ni heading tu. Ila aya yenyewe iliyopo kwenye quran zote za kiswahili ni hiyo ya chini ambayo haijawa bolded.

Fungua quran yako ya kiswahili kisha linganisha uone ukweli wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…