Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa taarifa yako, kiswahili chenyewe kina maneno mengi sana ya kiarabu. Je na wewe unajifunzwla mambo ya waarabu? Acha udini
Tulia tukacheki game
Swali gumu sana kwa hawa vinyongaKwahiyo Mtume Mohamad alikuwa Mfipa ?.
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Hawafundishi mambo ya nchi yoyote bali dini ya kiislamSasa wanafundisha mambo ya Wamerekani?
Hayo uliyosoma wewe ni maelezo ya mtu binafsi na tafsiri sahihi ya aya hiyo hapo juu ndio unayopaswa kuizingatia na si hayo maandishi madogo yaliyotolewa na mtu binafsiHii tafsiri ipo kwenye Quran zote zilizotafsiriwa kiswahili.. kama unabisha leta screen shot ya hii aya kutoka kwenye quran yoyote ya kiswahili tuone kama hakuna neno lugha yenu ya kiarabu
View attachment 3242141
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Hata huko ulaya kuna watoto wengi hawana maadiliNimeshtuka sana mkuu, nilidhani unatetea viboko vya madurasa.
Mleta mada anasumbuliwa na ujinga tu. Viboko siyo njia pekee ya kumlea mtoto.
Viboko ni adhabu ya kipumbavu isiyo na faida yeyote kwa mtoto
Sirjeff Denis, al maarufu ONTARIO ana msemo wake anapenda kuuliza,
''Ni mnyama gani, ukitoa Muafrika, huwa anamuadhibu mtoto wake kwa viboko?''
Mimi sijui, labda Mwarabu na Muhindi, lakini Ulaya hakunaga viboko kwa watoto.
Dawa ni kuachana na watoto wa watu....mitoto yenyewe sahv ukiipiga inaweza kufiaMzazi mjinga na mpuuzi.Inashangaza kuna taasisi za kiislamu zimemuunga mkono.Huyo mzazi kama ametumika kutaka kudhalilisha madrasa za kiislamu.
Mwalimu hajapiga kama ngombe kama alivyodai.
Mahakama imuwachie mara moja,
Sio kuiacha tu bali ni kupambana na wajinga wanaotaka kutuletea upuuzi wa wazungu.Yule mzazi kama ana mtoto wake basi ndio apewe mwenyewe akaangalie nae michezo ya kuigiza kwenye tv halafu aone kitakachomkuta huko mbele.Dawa ni kuachana na watoto wa watu....mitoto yenyewe sahv ukiipiga inaweza kufia
Mitoto yenyewe ukisema uwalimishe au wachimba kashimo wanaweza kuzimia
Mitoto ya kizaz hiki ni kuiacha tu
Ova
Hayo uliyosoma wewe ni maelezo ya mtu binafsi na tafsiri sahihi ya aya hiyo hapo juu ndio unayopaswa kuizingatia na si hayo maandishi madogo yaliyotolewa na mtu binafsi
Mbona uliyoleta wewe hainakama unabisha leta screen shot ya hii aya ama piga picha ya aya hii kutoka kwenye quran yoyote ya kiswahili tuone kama hakuna neno lugha yenu ya kiarabu
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Mbona uliyoleta wewe haina
Nimekwambie tafsiri sahihi ya aya ni hiyo juu iliyoandikwa kwa herufi boldedSoma tena aya nzima hapo imeandikwa kwa kiswahili kabisa
View attachment 3242177
Nimekwambie tafsiri sahihi ya aya ni hiyo juu iliyoandikwa kwa herufi bolded
Halafu hayo chini ni maelezo ya mtu binafsi wewe huoni kuwa yameongezwa maelezo mengi?