Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
kwa kingereza tunaweza kusemaje hapo? nimeupenda huo mstari..Imeandikwa "kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna. Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu, bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele"