Mzazi kama una kijana South Africa hasomeki, Tafadhali mama mkanye mwanao

Mzazi kama una kijana South Africa hasomeki, Tafadhali mama mkanye mwanao

Kukutana na Mtz mwenzako abroad na kukuta ni unga unga au haeleweki huwa changamoto sana.

Sasa hapo kuna mtu atasema mshirikiane watanzania mpendane. Unamsaidia vipi mhalifu zaidi ya kumkabidhi kwa waja?
Namna pekee ya kumaliza hili tatizo ni kuwadondosha one by one.
 
Sasa mjiandae kupokea maiti zao kwa gharama za familia zao, otherwise hakuna Mtanzania wa kuchanga pesa yake kurudisha Tanzania maiti za wapuuzi kama hawa.

Kaburu utaratibu wake maiti isiyotambuliwa na kuchukuliwa na ndugu ni chakula cha mamba wa mto Limpopo.

Mama amkanye mwanae.
Hao watoto wako kwa foolish age,wakivuka watatulia,sote.tulipita huko, kuna wengine wako humu wanajielewa sasa lakini zamani walikua hawambiliki, hadi walijiunga kwenye makundi ya akina Kiboko Msheli!!
 
Sisi wakongwe tunajua watu wa aina hii hawakosekani. Miaka ya nyuma walipokuwa wanazamia meli kuna wengi walikuwa wanarudi na suruali za jeans huku wananing'iniza kitambaa mfuko wa nyuma wa suruali na kujifanya kuongea ''whats up man'' nyingiingi
Ile kitambaa ni Derek, iliweza kuwa ya jinsi au bendera za USA,Jamaica, unatinga na raba flani hivi, halafu mwendo ni wa melini, time flies
 
Sasa mjiandae kupokea maiti zao kwa gharama za familia zao, otherwise hakuna Mtanzania wa kuchanga pesa yake kurudisha Tanzania maiti za wapuuzi kama hawa.

Kaburu utaratibu wake maiti isiyotambuliwa na kuchukuliwa na ndugu ni chakula cha mamba wa mto Limpopo.

Mama amkanye mwanae.
Aisee
 
Kuna wimbi la vijana wa hovyo panya road typical hatimaye wametinga kwa Kaburu.

Kuna wimbi la vijana panya road type sasa wamevuka mipaka wameanza kuwakaba mpaka Watanzania wenzao na wengine wakishavuta bangi zao hujiona ni Wamarekani na kujipost wakiwa na silaha za moto.

Sasa azimio ni moja tu vitaanza kudondoshwa vichwa mfululizo tena siyo kuwasubili mpaka wafanye uhalifu wao.

Watanzania wanaojitambuwa ambao kitambo wapo South Africa kwa amani wanasema sasa imetosha, sasa habari ziwafikie Watanzania, kama una mwanao au ndugu yako aliyekimbia matukio yake ya uhalifu Tanzania na kukimbilia South Africa basi mjiandae kupokea masanduku ya maiti za ndugu zenu, watu hawataki tena ujinga, na utaratibu wa South Africa ni bunduki tu.

Huyu mtoto ni walking dead, kama unamfahamu mna last chance ya kumnusuru.


View attachment 2988477
Duuh
 
Back
Top Bottom