Mzazi kama una kijana South Africa hasomeki, Tafadhali mama mkanye mwanao

Kuna wimbi la vijana wa hovyo panya road typical hatimaye wametinga kwa Kaburu.

Kuna wimbi la vijana panya road type sasa wamevuka mipaka wameanza kuwakaba mpaka Watanzania wenzao na wengine wakishavuta bangi zao hujiona ni Wamarekani na kujipost wakiwa na silaha za moto.

Sasa azimio ni moja tu vitaanza kudondoshwa vichwa mfululizo tena siyo kuwasubili mpaka wafanye uhalifu wao.

Watanzania wanaojitambuwa ambao kitambo wapo South Africa kwa amani wanasema sasa imetosha, sasa habari ziwafikie Watanzania, kama una mwanao au ndugu yako aliyekimbia matukio yake ya uhalifu Tanzania na kukimbilia South Africa basi mjiandae kupokea masanduku ya maiti za ndugu zenu, watu hawataki tena ujinga, na utaratibu wa South Africa ni bunduki tu.

Huyu mtoto ni walking dead, kama unamfahamu mna last chance ya kumnusuru.

View attachment 2988477
Huyo ni wa kuchinja kabisa hamna haja kutoa onyo.vinginevyo ye akivuta mibangi huko atakuja kuwagonga shaba
 
ila kuzamia dizonga ni vichekesho sana..... kuna dogo alikomba simu za wenzake akaamua kulisaka boda kila akiuliziwa watu wanasema jamaa kashafika sauzi anaanza kutobo baada ya kama miezi 5 hivi akarudi kachakaa kinoma kumbe mwamba aliishia malawi sjui pesa ikaisha aloo karudi kakonda anajidai anaongea kizulu kila nikimuangalia masikia kucheka tu
Sisi wakongwe tunajua watu wa aina hii hawakosekani. Miaka ya nyuma walipokuwa wanazamia meli kuna wengi walikuwa wanarudi na suruali za jeans huku wananing'iniza kitambaa mfuko wa nyuma wa suruali na kujifanya kuongea ''whats up man'' nyingiingi
 
Vipi kama ndiye yeye mwenyewe?
Anawashwa kijambio huyo achana naye.

Subiri alete screenshort za Msangi hapa tuone nani hamnazo kichwani.

IMG-20240511-WA0088.jpg
 
Kuna wimbi la vijana wa hovyo panya road typical hatimaye wametinga kwa Kaburu.

Kuna wimbi la vijana panya road type sasa wamevuka mipaka wameanza kuwakaba mpaka Watanzania wenzao na wengine wakishavuta bangi zao hujiona ni Wamarekani na kujipost wakiwa na silaha za moto.

Sasa azimio ni moja tu vitaanza kudondoshwa vichwa mfululizo tena siyo kuwasubili mpaka wafanye uhalifu wao.

Watanzania wanaojitambuwa ambao kitambo wapo South Africa kwa amani wanasema sasa imetosha, sasa habari ziwafikie Watanzania, kama una mwanao au ndugu yako aliyekimbia matukio yake ya uhalifu Tanzania na kukimbilia South Africa basi mjiandae kupokea masanduku ya maiti za ndugu zenu, watu hawataki tena ujinga, na utaratibu wa South Africa ni bunduki tu.

Huyu mtoto ni walking dead, kama unamfahamu mna last chance ya kumnusuru.

View attachment 2988477
Aisee
 
Hapo anajiona komando kipensi.
 
Hawa naomba msituhusishe nao kabisa kama taifa, mnatudhalilisha kama taifa na jamii kwa ujumla. Matoto matukutu sisi hatulei watoto wetu namna hiyo.
Sasa mjiandae kupokea maiti zao kwa gharama za familia zao, otherwise hakuna Mtanzania wa kuchanga pesa yake kurudisha Tanzania maiti za wapuuzi kama hawa.

Kaburu utaratibu wake maiti isiyotambuliwa na kuchukuliwa na ndugu ni chakula cha mamba wa mto Limpopo.

Mama amkanye mwanae.
 
Back
Top Bottom