Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
kwa kingereza tunaweza kusemaje hapo? nimeupenda huo mstari..Imeandikwa "kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna. Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu, bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele"
A man reaps what he sows. Whoever sows to please their flesh, from the flesh will reap destruction, whoever sows to please the Spirit, from the Spirit will reap eternal life.kwa kingereza tunaweza kusemaje hapo? nimeupenda huo mstari..
Hiyo siyo penseli.Na hakuitwa na vyombo vya habari kwa mahojiano.Je,kama anamiliki kihalali?
[emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo tuwarudishe waje watukabe huku au vipi...??
Comasava👍👍A man reaps what he sows. Whoever sows to please their flesh, from the flesh will reap destruction, whoever sows to please the Spirit, from the Spirit will reap eternal life.
Kigogo kimetulia sana.Kama cha Ngugi wa Thiong'o au Okot p Bitek.A man reaps what he sows. Whoever sows to please their flesh, from the flesh will reap destruction, whoever sows to please the Spirit, from the Spirit will reap eternal life.
Kuna kigogo cha agano la kale ni kigumu kueleweka.Kigogo kimetulia sana.Kama cha Ngugi wa Thiong'o au Okot p Bitek.
Upo sahihi muheshimiwa. Tantalising & ambiguous as well!Kuna kigogo cha agano la kale ni kigumu kueleweka.
Unaweza soma kifungu na usielewe chochote kwa wale akina sisi wa st kayumbazUpo sahihi muheshimiwa. Tantalising & ambiguous as well!
Lucas Mwashambwa atabubujikwa sana na machozi ya furaha akiona hii. Njoo umshukuru mama kwa kutufikisha jumapili.ashukuriwe mama anaupiga mwingi mpka tunatengeneza vijana tunawaexport mataifa mengine huu ni utendaji uliotukuka🤣🤣🤣
Kabisa/absolutely correct!Unasoma huku unabung'aa tu.The old versions are hideously hard to emancipate one from the darkness.Unaweza soma kifungu na usielewe chochote kwa wale akina sisi wa st kayumbaz
Hiyo aliweza mbongo mmoja wa kuitwa OG au OJ pale Johannesburg Hillbrow,kipindi flani cha nyuma! Sijui siku hizi yuko wapi!!uingie kwa mchongo alafu umiliki silaha kihalali duh noma
Kabisa mkuu bora kidogo agano jipya mambo yamebadilika.Kabisa/absolutely correct!Unasoma huku unabung'aa tu.The old versions are hideously hard to emancipate one from the darkness.
Karatasi ya kuishi kihalali hawana ndio unaongelea kumiliki fire Army kihalali?Je,kama anamiliki kihalali?
Kuna Malocation wenyewe wanaita Magetoni huko ndio takataka hizi zinajificha huko.Una uhakika huyo kijana kwenye picha yupo SA na sio Tandale?
Lakini,inafanya akili za watu kutokuchangamka.Kabisa mkuu bora kidogo agano jipya mambo yamebadilika.
Ukisikia mtu anayewashwa na kijambio basi ni wewe.Copy and paste.
Toa credit kwa mwenye uzi wake kule uliko utoa please.
KAZI ni kipimo cha UTU