Mzazi kama una kijana South Africa hasomeki, Tafadhali mama mkanye mwanao

Kukutana na Mtz mwenzako abroad na kukuta ni unga unga au haeleweki huwa changamoto sana.

Sasa hapo kuna mtu atasema mshirikiane watanzania mpendane. Unamsaidia vipi mhalifu zaidi ya kumkabidhi kwa waja?
Namna pekee ya kumaliza hili tatizo ni kuwadondosha one by one.
 
Hao watoto wako kwa foolish age,wakivuka watatulia,sote.tulipita huko, kuna wengine wako humu wanajielewa sasa lakini zamani walikua hawambiliki, hadi walijiunga kwenye makundi ya akina Kiboko Msheli!!
 
Sisi wakongwe tunajua watu wa aina hii hawakosekani. Miaka ya nyuma walipokuwa wanazamia meli kuna wengi walikuwa wanarudi na suruali za jeans huku wananing'iniza kitambaa mfuko wa nyuma wa suruali na kujifanya kuongea ''whats up man'' nyingiingi
Ile kitambaa ni Derek, iliweza kuwa ya jinsi au bendera za USA,Jamaica, unatinga na raba flani hivi, halafu mwendo ni wa melini, time flies
 
Aisee
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…