Sisi tulikuwa hatufai wahuni zaidi yako lakini sasa ,tumejua ya kuwa Mungu yupo
I am not exceptional, special or much know.Kadigrii kako ndio kanakufanya ujione exceptional,special,much know.
Sasa mama yako unamuona yuko brainwashed.
Enyi watoto watiini wazazi wenu, mpate kuishi siku nyingi.
Fuata mafundisho mema ya wazazi wako na yatakusaidia kwa vizazi vyako.
Au labda wewe watoto wako utawafundisha nini?!
Then u simply concluded hakuna Mungu na ibada sio muhimu?Niko na mzee, ila mzee hana time na haya mambo,...mama ndio anashupalia.
Vitabu ni vingi sana, kwasababu nilipokuwa form 2 nilikuwa na passion sana na dini. Yani ile tunaenda prepo wenzangu wanasoma physics mimi nilikuwa nasoma dini kila siku, so asilimia 80+ ya prepo zangu from form 2 to form 5 nilikuwa nasoma dini tu.
Vichache ni kama
Old & New testament
Heaven is for real-Todd turpo
The case for christ-Lee strobel
The attributes of God-Arthur Pink
Systematic theology-Wayne Grudem
The desire of Ages, The great controversy-Elen G. white
Catechism of the catholic church-
Roman catholic Encyclopedia karibia zote nilizisoma maana zilikuwa library shuleni
Here I stand-Maisha ya Martin Luther
Faragha ya kiroho, ukuaji wa kiroho-somebody Meinard Mtitu
Za wachungaji wa kibongo ndio usiseme
Vya kina mwakasege, Deo Njeni, na wengine wengi ambao hata sasa sivikumbuki majina
Vile vya ushuhuda kama nililala nikaamka usiku Yesu akanichukua akanipeleka kuzimu na mbinguni, nilishasoma vingi mno.
Nimeijua JF tayari siamini hayo mamboPost za jamii forums za wale Wasioamini uwepo wa Mungu zinakupotosha.
Wewe ni mpumbavu sana. Huwa unavuta bangi?Kuelekezwa sijakataa. Kama anataka anihubiri na kunielekeza ni sawa. ila sio kunilazimisha.
Kwenda kanisani sio jambo la shurti.
So ni uko bored na ibada na sio km huamini Mungu hayupo?Cheers, ila sasa kasheshe ni hii ya kwenda kila jumapili saa 2 hadi saa 8.
Inaboa kinoma, especially when you can read between the lines, and see through the lies. Yani sadaka inaombwa kama nini mara ooh "Mungu atakubariki, Mjaribu mungu kwa kumtolea" halafu wanakula wao.
Anyway kusema ukweli naenda tu lakini nikiwa pale kanisani napata mental torture kubwa sana... Pamoja na simu kunisaidia kunidistract lakini bado haitoshi.
Anyways wacha niendelee bana kufuata ushauri wako, lakini kwa hii case sidhani kama watakuja kuelewa, maybe nikijitegemea ila as long niko hapa hawatawahi kuelewa.
Kuwa brainwashed sio ugonjwa wala sio dhambi. Kila mtu duniani ni brainwashed kwa namna moja au nyingine.Huyo brainwashed ndiye kamzaa na kumpa hiyo degree , sasa huyu malezi ya mwanaye yatakuwaje, kama hayatakuwa ma'mpotompoto.
Kapotea uyu eeThen u simply concluded hakuna Mungu na ibada sio muhimu?
Time and time again watu wa dini mnaojionaga kuwa nyie ndio moral na watakatifu kuliko kila mtu mnazidi kuudhihirisha unafiki wenu.Wewe binti ni Msagaji na hiyo dhambi inakusumbua na imekuathiri Samahani kusema hivyo ila wewe ni Msagaji
Ngoja uzae ulee mwanakwetuHii iliwahi kunikuta mie, wakati nipo Advance, wazazi walikua wananipigia kelele sana kisa kutoenda kanisani, na kuacha kabisa kufuata misingi ya dini,
Mwanzoni nilikua nawasikiliza ila kanisani siendi, ikafika hatua wazazi wakawaita watu wazima wanikalishe chini huenda nna tatizo, wale watu walio tumwa niliwapa vipande vyao hadi wakasandaa, wakaenda kutoa majibu kwa wazazi, nashangaa wazazi wakaanza kuninunia na kunisusa fulaan hivi, sikuwa najari hata.
Baadae wakanipeleka kwa katekista azungumze na mie, yulee katekistaa alianzaa kunisema na kuhubiri anayoyajua, nkawa namsikiliza tyuuh, mara akaanza oooh sijui motoni mara jehanamu. Nlichoka kusikiliza uongo wake, nkampa swali
"hayo mambo ya motoni na jehanamu sijui akhera na mbinguni wee uthibitisho unao? Uliwahi kwenda kushuhudia? Ni marehemu gani aliyekufa na kuzikwa akarudi tena duniani kusema kuwa huko kuna mbingu na jehanamu? Sasa km yupo nikutanishe nizungumze nae, km hayupoo naomba uniache sina mda wa kusikiliza hizo ngonjera zako hapa, na ukawaambie wale waliokutuma kuwa kanisani siendi kamweee na sitaki nikiwepo wazungumzie masuala ya dini iwe mwanzo na mwisho"
Yule katekistaaa akapekeka ujumbe kwa wazazi, siku ya pili baba ananambia kuna kikao cha familia, nkasema sawa. Jion yake tukakaa sebulen, mara mama anaanza kulia "mwanangu umekumbwa na nn shetan gan kakushika hvyo, pepo chafu hilo likutoke" nkaona huyu ananiletea uchuro, nkawachana ukweli na nlisema msimamo wangu ni huu na haubadiliki.
"Kuanzia leo nitakapokaa au kuwepo mie naomba masuala ya dini yasiwepo na yakiwepo nisihusishwee, sikuzaliwa ili nije kuridhisha watu, nilizaliwa ili kufurahia na kuishi maisha ya hap duniani. Huko kanisani siendi na sitakwenda kwa matakwa ya mtu yeyote ila maamuzi yangu binafsi, sina pepo chafu, shetani wala ndugu zake, ila mie mwenyewe sitaki na sipendi kwenda kanisani. Siwezi kuishi kwa kuwaridhisha nyie, kingine ambacho hamkijui wazazi mie mwanenu niko real sana, huwa sina sababu ya kufake kitu, siwezi kuinyima haki nafsi yangu kisa nyie hapanaa siweziiii.ntafanya yale ambayo natakiwa kufanya kwenu km wazazi ila masuala yangu binafsi uzazi na utoto nauweka pembeni nasimama mie km mie. Nimemalizaaaaa.
Tangu siku ile had leo sisikii habari zao za dini wala nn, na tunaishi vizuri tyuuh, nakusihi hebu simamia msimamo wako acha kupelekeshwa, mzazi hawezi kukuingilia ktk masuala yako ya imani. Be you!!!
.............
Your ability to reason is below kindergattenKula chakula cha mama yako huoni kama unalazimishwa, au kuingilia uhuru wako...
Kupelekwa shule na kulipiwa ada hukuona kama unalazimishwa na kuingiliwa uhuru wako...
Kununuliwa nguo za kusitiri uchi wako hukuona kama unalazimishwa kuvaa nguo na kuingiliwa uhuru wako...
Kulala kwenye kitanda na godoro usilochangia chochote huoni kama unalazimishwa na kuingiliwa uhuru wako...
Lakini suala la kiroho pekee yake ndio limekuwa nongwa kwako...
Kula ni imani tangu lini?Huna imani ila imani ya kula chakula Cha bure unayo 😁 Lana sumaka
Mtii Mama BintiKuwa brainwashed sio ugonjwa wala sio dhambi. Kila mtu duniani ni brainwashed kwa namna moja au nyingine.
Beleive that
Wewe ni mpuuz hao mapadre wakikatoliki wanaoharibu watoto kwa kuwalawiti kesi ziko maelfu huko mpaka Pope anaona aibu ,masheikh wanalawiti watoto wa madrassa kila siku , .Huna akili mastaaNa wengi wao wanaomkana Muumba wao miongoni mwao ndio wanaofanya maovu na uzinzi na ufiraji na kulawitiwa