Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Ignorance is deeply ingrained in so many people ,nadhani unaona
Hehe, they cant even practise what they preach....wanatukana sana humu kutetea dini zao ambazo zinakataza matusi na kujudge mtu.
 
Wamepitia hayo yote na sasa wako kwenye age ya enlightenment hizo piramid schemes za kitapeli za dini walishaachana nazo kitambo , zimebaki huku Africa Kwa misukule kwenye dark ages
Dah, it is not normal...Absurdity is an understatement.

Nilikuta siku moja kanisa usiku wa manane watu wameacha usingizi wanalia kama mbwa na kupayuka mpaka makoromeo yanaisha sauti kabisa.
 
Kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa andiko lako, umedhihirisha:

1. Ni jinsi gani huna nidhamu kwa Mama.
2. Ni jinsi gani huna midhamu kwa Mungu.
3. Ni jinsi gani unakwenda kuharibikiwa.
4. Jinsi gani una kiburi.

Note : Mama hana haki ya kululazimisha wewe kwenda Kanisan, ila huyu Mama anakupenda sana na anacholazimisha kina maana.
Acha kumtabiria ujinga mwenzako, hilo dua la kuku tu, hata hivyo Huyo Mungu wa dini hakuna sehemu kasema uende kanisani, pia huyo Mungu kawaumba mkiwa na free will hajawai washurutisha kufanya lolote lile sasa mzazi ni nani aingilie uhuru wako ikihali huyo mnaesema Mungu hajawai kuingilia uhuru huo?

Kumtii mzazi ni pamoja na kumuonesha msimamo wako kama mwana wake, na sio kuwa legelege, kumtii mzazi hakuhusiani na imani, ingekuwa hivyo basi tusingewahukumu wachawi na waganga kwa kuwarithisha ushirikina watoto zao.

Amkeni kwenye gereza la utumwa, mnavitafsiri vitabu vya kidini tofaut kabisa, sijui malengo yenu ni nini haswa
 
Maisha yako kiroho..kama huoni faida mimi ni nani?

Umeanza kwa kumkana Mungu sasa muda si mrefu nafsi yako itapata cha kuamini na kuabudu...hold on tight ur almost there
Hahah una imani kali sana...kwamba binadamu hawezi kuishi bila kuabudu kitu.
 
Mfano eti papa wa Roman Catholic anajiita God representative on Earth ,how stupid you have got to be to believe in shit like that ,hayo makanisa mengine yaliyobaki ndio hao wazee wa sadaka ,kukanyaga mafuta na takataka nyingine kule kwa wavaa kobaz nako vitimbwi haviishi ni kuvaa mabomu na kujilipua , kulazimisha upuuz wao kwa wengine . Crazy shit
Beyond absurdity
 
Back
Top Bottom