Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Ninaelewa umuhimu wa dini, na sijasema dini haina umuhimu.
Inao umuhimu ila sio kwangu.

ili ukontrol watu inabidi waamini kitu kimoja, kwahyo dini inarahisisha watu kuwa controlled, ni muhimu watu kuwa controlled maana kila mtu akiwa enlightened itakuwa ngumu kuendesha serikali na tawala mbalimbali.

Inabidi uwe na kundi kubwa la kondoo ili nchi iende.
Unajua kwann tunaenda kwenye dini
 
Acha kumtabiria ujinga mwenzako, hilo dua la kuku tu, hata hivyo Huyo Mungu wa dini hakuna sehemu kasema uende kanisani, pia huyo Mungu kawaumba mkiwa na free will hajawai washurutisha kufanya lolote lile sasa mzazi ni nani aingilie uhuru wako ikihali huyo mnaesema Mungu hajawai kuingilia uhuru huo?

Kumtii mzazi ni pamoja na kumuonesha msimamo wako kama mwana wake, na sio kuwa legelege, kumtii mzazi hakuhusiani na imani, ingekuwa hivyo basi tusingewahukumu wachawi na waganga kwa kuwarithisha ushirikina watoto zao.

Amkeni kwenye gereza la utumwa, mnavitafsiri vitabu vya kidini tofaut kabisa, sijui malengo yenu ni nini haswa

Ok. Asante.
 
😊😊 Uandishi wako umekaa kiume. Japo jina na emoji inafanya wengi tufikiri wewe ni wa kike. Nitakupa ushauri wa jumla jumla.
1.Mwambie Mama yako ukweli kuwa umekosa imani ili ajue anachokabiliana nacho.
2. Endelea kwenda kanisani kila hiyo jumapili, ukiona masaa yanakuwa mengi na umechoka ondoka, mama akiuliza mwambie unajaribu kujiweka sawa katika kupata mwamko wa kiimani awe mvumilivu kwa hilo.
3.☹️😓Nakuhurumia sana kinachoenda kukukuta, unaenda kujikuta mpweke na kuwa kama uliyekosa link(connection) na jamii endapo utaacha kabisa kuwa sehemu ya hizi imani duniani. Unless kama kuna imani mpya umeipata na unatarajia kuipa familia utakayoanzisha.
4. Nenda kanisani/msikitini utambulike kama sehemu ya jamii, sasa hivi raha za mapito hayo ya mama na baba yako ndio zinafanya uone kama rahisi. Kuna matukio kama kifo,ndoa na sherehe vinahitaji ushirika wako katika taasisi, watu wasipokutambua utapata shida kubwa kijamii na kisaikolojia. Suppose on your death, burial ceremony itabidi mama yako dhamana yake ikubebe, otherwise utadhalilisha familia. Marriage utamuoa/kuolewa na nani kirahisi, just a simple thing can make a man or woman arudi nyuma katika maamuzi
 
Nimjibie kwa niaba?

H2+O=H2O yaani hewa ya oxygen na hewa ya haidrojen both are invisible but when they react, they form visible product known as WATER je, na hiki kitendo kinatendwa naturally na mazingira ama kupitia kwa wanasayansi mnaowapinga, je bado mtaendelea kutumia fikra zenu za kipumbavu kuwatishia wasio amini imani zenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha mnoo wafia dini.
 
Mmmh! Mpaka vya 'Aqidah ya Ahlus Sunnah Wal Jama'ah?

Kisai adriz Kazakh destroyer Msonjo Synonym Njooni mumuone "Mustashriq" wa Jf huku hahahahahahhh!! "Vitoto" vya Richard Dawkins na Sam Harris.

Ila wallah katika watu mna kibri ni watu mnaoabudu matamanio ya nafsi zenu (Mulhiduun/"atheists").

Allahul Musta'aan

Napita.
Nmesoma Sirat Rasul Allah ya Ibn Ishaq
Sunan Nassai
Al Tabari
Sahih Muslim
Muqqadimah
Ar-raheeq Al-Makhtum nk. Nk.
 
Back
Top Bottom