She Quoted you
JF-Expert Member
- Oct 19, 2020
- 687
- 1,184
- Thread starter
- #381
So akisema jiue, nijiue tuAta kukataaa ki2 alicho kuambia s heshm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So akisema jiue, nijiue tuAta kukataaa ki2 alicho kuambia s heshm
Unajua kwann tunaenda kwenye diniNinaelewa umuhimu wa dini, na sijasema dini haina umuhimu.
Inao umuhimu ila sio kwangu.
ili ukontrol watu inabidi waamini kitu kimoja, kwahyo dini inarahisisha watu kuwa controlled, ni muhimu watu kuwa controlled maana kila mtu akiwa enlightened itakuwa ngumu kuendesha serikali na tawala mbalimbali.
Inabidi uwe na kundi kubwa la kondoo ili nchi iende.
Acha kumtabiria ujinga mwenzako, hilo dua la kuku tu, hata hivyo Huyo Mungu wa dini hakuna sehemu kasema uende kanisani, pia huyo Mungu kawaumba mkiwa na free will hajawai washurutisha kufanya lolote lile sasa mzazi ni nani aingilie uhuru wako ikihali huyo mnaesema Mungu hajawai kuingilia uhuru huo?
Kumtii mzazi ni pamoja na kumuonesha msimamo wako kama mwana wake, na sio kuwa legelege, kumtii mzazi hakuhusiani na imani, ingekuwa hivyo basi tusingewahukumu wachawi na waganga kwa kuwarithisha ushirikina watoto zao.
Amkeni kwenye gereza la utumwa, mnavitafsiri vitabu vya kidini tofaut kabisa, sijui malengo yenu ni nini haswa
Ndio s ni mzaz wako tii kama isac alivyo mtii babaeSo akisema jiue, nijiue tu
Kwani kuna form nyingine ipi?Unatarajia umpate kivipi?
/in which form
Ww n mwanaume auKwani kuna form nyingine ipi?
Physical form.
Kwasababu tunaishi kwenye ulimwengu physical.
Hizo zingine nje ya hapa ni story tu.
Nakuhakikishia tukiita malaya 1000 wa bar hapo dar...tukawauliza wangapi hawana dini? Kama tukipata wengi ni mmoja.Ss ww utaish aje na wanao utawalea Kw msing ipi umalaya kushinda baa au
Sio kweliNakuhakikishia tukiita malaya 1000 wa bar hapo dar...tukawauliza wangapi hawana dini? Kama tukipata wengi ni mmoja.
Umekariri....Dini yako ni zile kandamizi kwa wanawake sio? Zile ambazo mwanamke hatakiwi kuhubiri?Maana wanawake hawKo ivo
Unataka nisemeje? Nimesha sema huko juuAhaa kwaiy ww unasemaj
Apana naona uelew wako n wakiumeUmekariri....Dini yako ni zile kandamizi kwa wanawake sio? Zile ambazo mwanamke hatakiwi kuhubiri?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha mnoo wafia dini.Nimjibie kwa niaba?
H2+O=H2O yaani hewa ya oxygen na hewa ya haidrojen both are invisible but when they react, they form visible product known as WATER je, na hiki kitendo kinatendwa naturally na mazingira ama kupitia kwa wanasayansi mnaowapinga, je bado mtaendelea kutumia fikra zenu za kipumbavu kuwatishia wasio amini imani zenu?
Hahaha aya ila mungu yupo sindioUnataka nisemeje? Nimesha sema huko juu
Ila din n muhim jaman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha mnoo wafia dini.
Kwan kila anaye amini Mungu yupo ni lazima aende msikitini na kanisani??Hahaha aya ila mungu yupo sindio
Kwako wee, sio kila mtu.Ila din n muhim jaman
Nmesoma Sirat Rasul Allah ya Ibn IshaqMmmh! Mpaka vya 'Aqidah ya Ahlus Sunnah Wal Jama'ah?
Kisai adriz Kazakh destroyer Msonjo Synonym Njooni mumuone "Mustashriq" wa Jf huku hahahahahahhh!! "Vitoto" vya Richard Dawkins na Sam Harris.
Ila wallah katika watu mna kibri ni watu mnaoabudu matamanio ya nafsi zenu (Mulhiduun/"atheists").
Allahul Musta'aan
Napita.
Kwaiy ww hausaliKwako wee, sio kila mtu.