Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa andiko lako, umedhihirisha:

1. Ni jinsi gani huna nidhamu kwa Mama.
2. Ni jinsi gani huna midhamu kwa Mungu.
3. Ni jinsi gani unakwenda kuharibikiwa.
4. Jinsi gani una kiburi.

Note : Mama hana haki ya kululazimisha wewe kwenda Kanisan, ila huyu Mama anakupenda sana na anacholazimisha kina maana.
Prove point 1 and 4 please
 
huyu siyo Mshana Jr kaja na ID mpya kweli at level ya form 6 awe amesoma vitabu vyote hivyo and at age of below 20........tena vya dini zoteee zilizopo duniani
 
Back
Top Bottom