She Quoted you
JF-Expert Member
- Oct 19, 2020
- 687
- 1,184
- Thread starter
- #441
No mkuu, kipindi wenzangu wanakariri Binomial expansions nilikuwa nasoma dini...ilikuwa kama passion yangu.huyu siyo Mshana Jr kaja na ID mpya kweli at level ya form 6 awe amesoma vitabu vyote hivyo and at age of below 20........tena vya dini zoteee zilizopo duniani
Maana nilikuwa naamini mungu ndio huwa a anipa majibu ya mtihani nifaulu.