Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Ignorance is deeply ingrained in so many people ,nadhani unaona
Hehe, they cant even practise what they preach....wanatukana sana humu kutetea dini zao ambazo zinakataza matusi na kujudge mtu.
 
Wamepitia hayo yote na sasa wako kwenye age ya enlightenment hizo piramid schemes za kitapeli za dini walishaachana nazo kitambo , zimebaki huku Africa Kwa misukule kwenye dark ages
Dah, it is not normal...Absurdity is an understatement.

Nilikuta siku moja kanisa usiku wa manane watu wameacha usingizi wanalia kama mbwa na kupayuka mpaka makoromeo yanaisha sauti kabisa.
 
Acha kumtabiria ujinga mwenzako, hilo dua la kuku tu, hata hivyo Huyo Mungu wa dini hakuna sehemu kasema uende kanisani, pia huyo Mungu kawaumba mkiwa na free will hajawai washurutisha kufanya lolote lile sasa mzazi ni nani aingilie uhuru wako ikihali huyo mnaesema Mungu hajawai kuingilia uhuru huo?

Kumtii mzazi ni pamoja na kumuonesha msimamo wako kama mwana wake, na sio kuwa legelege, kumtii mzazi hakuhusiani na imani, ingekuwa hivyo basi tusingewahukumu wachawi na waganga kwa kuwarithisha ushirikina watoto zao.

Amkeni kwenye gereza la utumwa, mnavitafsiri vitabu vya kidini tofaut kabisa, sijui malengo yenu ni nini haswa
 
Maisha yako kiroho..kama huoni faida mimi ni nani?

Umeanza kwa kumkana Mungu sasa muda si mrefu nafsi yako itapata cha kuamini na kuabudu...hold on tight ur almost there
Hahah una imani kali sana...kwamba binadamu hawezi kuishi bila kuabudu kitu.
 
Beyond absurdity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…