Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

huyu siyo Mshana Jr kaja na ID mpya kweli at level ya form 6 awe amesoma vitabu vyote hivyo and at age of below 20........tena vya dini zoteee zilizopo duniani
No mkuu, kipindi wenzangu wanakariri Binomial expansions nilikuwa nasoma dini...ilikuwa kama passion yangu.
Maana nilikuwa naamini mungu ndio huwa a anipa majibu ya mtihani nifaulu.
 
Kwa miaka 24 una maakili sana.....huu ndio mchango wangu katika mada hii...πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…