Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Tumaini juu ya tabiri za kisayansi na teknolojia na tabiri hizo tabiri hizo zikatimia imejenga msingi wa imani juu ya sayansi na twknolojia kwamba inawezekana tabiri ambazo zinatabiriwa leo kesho zikatimzwa, kumbuka una kuwa na imani kidogo kwa sababu kuna msingi wa kuamini umejengwa...

Suala la imani ni tofauti na sayansi, ndio maana tunasema hizi ni imani za dini... Imani usichanganye na sayansi, ukiambiwa siku ya mwisho watenda maovu wataadhibiwa utaamini hivyo japo huna uthibitisho...

Dini ina njia yake na sayansi ina njia yake, sasa kutumia misingi ya kisayansi kutaka kukubali kuna uwezekano Mungu yupo ni makosa, sayansi haijawahi thibitisha uwepo wa Mungu...

Kwa hio dini na sayansi zina njia tofauti, unachofanya ni kutumia tumaini lililojengwa katika sayansi na kuja kutumia hilo tumaini kuja kusema kuna uwezekano Mungu yupo kitu ambacho hakipo...

Mifano unayotoa hairandani, tumaini juu ya uwepo wa Mungu litajengwa kwa dini, tumaini juu ya miaka 500 baadae tutaishi kwenye Mars linajengwa na sayansi...

Nachoweza kusema mifano yako ni mfu na hairandani hata kidogo
 
And when it is said unto them: Follow that which Allah hath revealed, they say: We follow that wherein we found our fathers. What! Even though their fathers were wholly unintelligent and had no guidance, would they follow them?
2:170
Ongezea tena fungu lingine kutoka kitabu kingine kilichoandikwa na watu wengine ambao kipindi wanaandika walikuwa hawakufikirii wewe mmatumbi.
 
Kwahyo kuacha dini za wazungu na waarabu ni kuacha Asili ya kiafrika?

Au kuna sehemu umeona nmeacha asili ya kiafrika?
 
Okay nilichoelewa hapa, sayansi ni tumaini backed with evidence, dini ni tumaini Blindly tu bila evidence yoyote.

For that I choose the side with evidence.
 
Okay nilichoelewa hapa, sayansi ni tumaini backed with evidence, dini ni tumaini Blindly tu bila evidence yoyote.

For that I choose the side with evidence.
Kwa hio kauli yako ya kusema kuna uwezekano Mungu yupo ifute
 
Mzazi yupo sawa, anastahili pongezi
 
Kwahyo kuacha dini za wazungu na waarabu ni kuacha Asili ya kiafrika?

Au kuna sehemu umeona nmeacha asili ya kiafrika?
Umesema unalazimishwa kwenda church so nilikuwa najaribu kukuelewesha kuwa kuna wimbi kubwa la vijana hiv sasa wamekumbwa na usasa. Kwanza hawapend kutii wazazi na wanahis wako sahihi hata penye makosa. Popote utakapoenda dunian utamaduni wa kizaz usipotiiwa ni vurugu. Ni kama ile jamii ya kijamaica. Lazima utii then Ndio uhoji in good polite uhalali wa hicho unachooambiwa ila the Way ulivyoandika ni kuwa unaongozwa na kibur cha uzima tu.
 
Uliza waislam Quran inasema hata bakora zitumike ili uende msikitini n ufunge Ramadan
 
Dada una alikili kubwa sana,hongera kwa hilo.

Humu wengi hawatokuelewa kutokana na maisha waliyofungwa tangu walipozaliwa kwa kukalilishwa.

Zaidi utapokea matusi,kashfa na vitisho vya laana(uwa zinatukumba sisi wa Afrika hizo laana sina uhakikia kama kwa wazungu kuna laana)


Zingatia afya ya akili ya mama na uwelewa wa mama upoje katika masuala ya imani.Kwakuwa bado uko chini ya mikono yake Fanya hivi,kupitia mfano huu.


Kipindi nipo mdogo,nilikuwa na penda kwenda shule kuliko kanisani.Na nyumbani kulikuwa na sheria Kali sana.Hasa usipoenda jumapili kanisani.


Ili kuwatii wazazi nikawa natoka nazuga kwenda kanisani ila naishia mtaani,muda wakutoka na Mimi nilikuwa na rudi nyumbani ili nioekane nilikuwa kanisani.Muda wa ibada ni masaa mawili hivyo ni kawa na cheza na muda.

Ikija ikagundulika hiyo,fimbo na adhabu Kali zilikuwa haiziishi kwangu,ndipo nikabadili mbinu.Nikawa naenda kanisani nachungulia kuangalia vifungu vya neno vilivyopangwa pale mbele,nyimbo zitakazo imbwa na nani na nani wamekaa madhabahuni pia watu mashuhuli wamekaa sehemu gani.Nikitoka hapo pesa ya sadaka nilienda kuchezea pool table lilikuwa jirani na maeneo ya kanisa, hivyo wakitoka na ungana nao.

Nikirudi nyumbani wakinibana maswali na jibu Yale mepesi ambayo na uthibitsiho nayo,niliishi hivyo hadi nilivyokaa mbali na wazazi baada ya darasa LA saba hadi kufikia kujitegemea.


Zingatia usalama wa afya ya mzazi kwanza,kuna Sonona ambayo itapelekea kupunguza kinga yake
mwili. na pia magonjwa hayotocheza mbali naye.

Jaribu kutumia mfano huo,utapata njia sahihi mama.
 
Mchungaji Execute njoo utie neno huku..
Huyu mtoto anatakiwa kupewa bakora kadhaa. Kama yeye ni mkubwa aende akajitegemee kinyume na hapo lazima amtii mzazi wake. Kanakula na kanalala hapo kwa mzazi wake halafu kanaleta sheria zake.

Kanisani haupati mambo ya kiroho peke yake bali unapata na yale ya kijamii pamoja na connection mbalimbali. Ndio maana hata muislam ambaye haendi msikitini japo ijumaa mimi simuelewi.
 
Yaani miaka yooote hiyo unaishi kwenu??...mie miaka 20, nikkwa bado nasoma nikamwambia baba sasa school fee yako staki tena! likizo siendi naingia front tuuu
 
So hizo faida ndiyo zinahalalisha iwe lazima? Kama mtu hqzitaki hizo faida?
 
Kweli!.......si uje sasa? .......njoo.......ukuje ........tena nikaenda mbali zaidi zaka na sadaka! nasaidia mayatima, wagonjwa, villema nk km sina akili nzuri!! wkt mwingine nawapa hela zangu zooote!

hata wewe leo ukitaka hela nipigie uone....unijaribu tu!

au njoo kwangu! uone ntakavo kupa hela yaani utakimbia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…