green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Saa 12 asbh hadi saa 8 mchn afu kwenye lile pagara jua kali jotoKwa mwamposa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa 12 asbh hadi saa 8 mchn afu kwenye lile pagara jua kali jotoKwa mwamposa
Nimekubali shauri nyigi sana humu....au wewe unataka nikubali zote nisipambanue kwa uelewa wangu?Mada yako umeileta ya nini ikiwa unakataa ushauri unaopewa na wengi? Tatizo ni kwamba unajiona una uelewa sana kuliko Hawa wote wanaokushauri,...
Nje ya mada kidogo,
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kuoa mke wa namna kama yako
Naye ana mzazi wake, Angekuwepo hai tungesema ni mtoto wa bibi/babuUsisahau naye alizaliwa.
Hahah shemeji alimwaga mbogaMi
Mimi nishawekwa mtu Kati ishu za kubeti na Maza afu kipindi iko na pisi yangu ilikuepo nyumbani inasubiri kujifungua, Sasa katika mazungumzo ya Mimi na bi mkubwa shemeji yangu mke wa bro akaingilia, ila shemeji kiukweli kubeti sio kuzuri[emoji3][emoji3] Sasa hasira zangu zote niliamishia kwake nilimmaind kweli kweli nadhan ananiogopa mpaka leo na nikamwambia ukiona naongea na bi mkubwa kaa kando, akaanza kulia nikiri kusema shemeji yangu mke wa bro Ni mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwann mm ni mpuuzi?Kama hutaki kajenge au kapange uwe na maamuzi Yako mpuuzi mkubwa wewe.
Mkuu wewe huamini uwepo wa Mungu, au huamini njia zinazotumika kumfuata huyo Mungu!?Nmeshaamua kufunika kombe mwanaharamu apite, But sidhani hata Mungu anapenda kuona binadamu aliyemuumba ananung'ununika kwa kulazimishwa kumuabudu
Again, unarudia kulinganiaha visivyolinganishika...jipangeUsisahau huyo aliyekulea mpaka umefika hapo, ana imani yake ambayo wewe unaamini imekula ubongo wake. Unataka kutuaminisha kuwa aliyekulea ubongo wake umeliwa na dini LAKINI WEWE AMBAYE HUWEZI KUMLEA HATA PAKA UBONGO WAKO MZIMA..!!
We ukapimwe akili
Umeanza kuamini hivo before au after kujitegemea?Mimi mwenyewe mambo ya kansani yashanipita kushoto siku nyingi, nina imani zangu binafsi ila unlike you mimi nina imani Munvu yupo ila sio in the way anavyoelezewa kwenye makanisa.
Ila nimeacha hayo mambo baada ya kujitegemea
Hivi ulianzisha uzi kuomba ushauri au kubishana na watu wenye mtizamo tofauti na wako juu ya jambo ulilouliza...!? Nilidhani unalinganisha unachoambiwa na mtazamo wako kuona kipi ni sahihiNaye ana mzazi wake, Angekuwepo hai tungesema ni mtoto wa bibi/babu
Huyo huyo unayemuamini wewe.Mungu yupi na wewe huamini kama kuna Mungu?
Sasa washauri hawashauri nilichouliza...wanataka kulazimisha niamini mambo ya mungu, mimi nimeomba kuhubiriwa?Huyo nilimwambia hajitambui. Kwanza kaja kuomba ushauri alafu anataka kubishana na washauri.
Sipendi kuabudu kabisa. Ni ujinga kwangu.Labda nkuulze kitu hupendi kwenda kwa mwamposa au kwnda kanisa lolote la kikristo?
Kumbe mungu ni mbaguzi.Wewe ni mtoto. Upo chini ya wazazi. Mungu Hana habari na Wewe. Jukumu kawaachia wazazi wako.
Siku ukitoka hapo NYUMBANI ndio Mungu ataanza kukuzingatia
Sawa, degree unayo wewe Tz nzimaHuyo Hana degree. Labda iwe kwenye makaratasi. Ila ingekuwa kichwani asingefikiri Kwa namna hiyo.
Okay tufanye hivi mimi sina degree, ni wewe tu ndio una degree na una akili nyingi sana mkuu.
Maana kila hoja yako ni kama unaniattack kisa nimesema nina degree.
Haufikirii kabisa kwa kina statement zangu, bali unafikiria utafute mapungufu gani katika statement zangu ili ujidhijirishe kuwa wewe ndiye msomi.
Okay nakubali mimi sio msomi. ila tafadhali usifikirie pafupi ukisoma sentesi zangu.
Iran before ilikuwa secular state ila ikabadili gia angani na kuwa nchi ya dini.
Sasa fikiria serikali ya Tz ibadili gia kama Iran ianze kulazimisha watu kuingia msikitini na wote muwe waislam itakuwa haki?
Pamoja na hayo, hakuna nchi nayoijua inayolazimisha watu kuswali au kuamini katika dini yao.
Kama unaijua itaje.
Iran, Saudi arabia kuna wakristo na hawalazimishwi kusilimu au kuswali swala tano.
ila Sheria za dini kama usifuge nguruwe zipo na zinafuatwa, na hata mimi hapa nyumbani sivunji sheria za dini, sizini wala kuiba wala kudanganya.
ila sidhani kama ukristo unalazimisha watu kwenda kanisani.
Kwanini wazazi wanilazimishe?
This time usikurupuke kunimisquote.
Yaani, just imagineSaa 12 asbh hadi saa 8 mchn afu kwenye lile pagara jua kali joto
We uliondoka ukiwa na umri gan?Miaka 24 mpo nyumbani watu mna raha aisee