Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Mada yako umeileta ya nini ikiwa unakataa ushauri unaopewa na wengi? Tatizo ni kwamba unajiona una uelewa sana kuliko Hawa wote wanaokushauri,...



Nje ya mada kidogo,
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kuoa mke wa namna kama yako
Nimekubali shauri nyigi sana humu....au wewe unataka nikubali zote nisipambanue kwa uelewa wangu?
Hujasikia msemo "za kuambiwa changanya na zako"?
 
Mi

Mimi nishawekwa mtu Kati ishu za kubeti na Maza afu kipindi iko na pisi yangu ilikuepo nyumbani inasubiri kujifungua, Sasa katika mazungumzo ya Mimi na bi mkubwa shemeji yangu mke wa bro akaingilia, ila shemeji kiukweli kubeti sio kuzuri[emoji3][emoji3] Sasa hasira zangu zote niliamishia kwake nilimmaind kweli kweli nadhan ananiogopa mpaka leo na nikamwambia ukiona naongea na bi mkubwa kaa kando, akaanza kulia nikiri kusema shemeji yangu mke wa bro Ni mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah shemeji alimwaga mboga
 
Nmeshaamua kufunika kombe mwanaharamu apite, But sidhani hata Mungu anapenda kuona binadamu aliyemuumba ananung'ununika kwa kulazimishwa kumuabudu
Mkuu wewe huamini uwepo wa Mungu, au huamini njia zinazotumika kumfuata huyo Mungu!?

Unakuaje hudhani wakati wakati huakini kama yupo!!

Mtakuja kukosana tu ni kheri ukahama hapo kwenu.
 
Usisahau huyo aliyekulea mpaka umefika hapo, ana imani yake ambayo wewe unaamini imekula ubongo wake. Unataka kutuaminisha kuwa aliyekulea ubongo wake umeliwa na dini LAKINI WEWE AMBAYE HUWEZI KUMLEA HATA PAKA UBONGO WAKO MZIMA..!!

We ukapimwe akili
Again, unarudia kulinganiaha visivyolinganishika...jipange
 
Mimi mwenyewe mambo ya kansani yashanipita kushoto siku nyingi, nina imani zangu binafsi ila unlike you mimi nina imani Munvu yupo ila sio in the way anavyoelezewa kwenye makanisa.
Ila nimeacha hayo mambo baada ya kujitegemea
Umeanza kuamini hivo before au after kujitegemea?
 
Naye ana mzazi wake, Angekuwepo hai tungesema ni mtoto wa bibi/babu
Hivi ulianzisha uzi kuomba ushauri au kubishana na watu wenye mtizamo tofauti na wako juu ya jambo ulilouliza...!? Nilidhani unalinganisha unachoambiwa na mtazamo wako kuona kipi ni sahihi
 
Huyo nilimwambia hajitambui. Kwanza kaja kuomba ushauri alafu anataka kubishana na washauri.
Sasa washauri hawashauri nilichouliza...wanataka kulazimisha niamini mambo ya mungu, mimi nimeomba kuhubiriwa?
 
Poor you!
Nimekuhurumia,baada ya mda utakuja kugundua mama yako alikua sahihi ila nasikitika utakuja kugundua when it is too late,
Social media hizo zinawaharibu,nna hakika we snap chat na tiktok haukosi kwenye simu yako,basi tuseme nini sasa!
Mungu amtunze bimkubwa wako aishi ashuhudie yajayo!
 
So akikukwambia kwa kukuimiza uende disco...utazame TV kutwa ...umleta bwana ako home ulale naye ....uwe unywe pombe ...n.k...je nako utaona kakulazimisha au kaingilia Uhuru wako!?
 
Okay tufanye hivi mimi sina degree, ni wewe tu ndio una degree na una akili nyingi sana mkuu.
Maana kila hoja yako ni kama unaniattack kisa nimesema nina degree.
Haufikirii kabisa kwa kina statement zangu, bali unafikiria utafute mapungufu gani katika statement zangu ili ujidhijirishe kuwa wewe ndiye msomi.
Okay nakubali mimi sio msomi. ila tafadhali usifikirie pafupi ukisoma sentesi zangu.
Iran before ilikuwa secular state ila ikabadili gia angani na kuwa nchi ya dini.
Sasa fikiria serikali ya Tz ibadili gia kama Iran ianze kulazimisha watu kuingia msikitini na wote muwe waislam itakuwa haki?

Pamoja na hayo, hakuna nchi nayoijua inayolazimisha watu kuswali au kuamini katika dini yao.
Kama unaijua itaje.
Iran, Saudi arabia kuna wakristo na hawalazimishwi kusilimu au kuswali swala tano.
ila Sheria za dini kama usifuge nguruwe zipo na zinafuatwa, na hata mimi hapa nyumbani sivunji sheria za dini, sizini wala kuiba wala kudanganya.
ila sidhani kama ukristo unalazimisha watu kwenda kanisani.
Kwanini wazazi wanilazimishe?

This time usikurupuke kunimisquote.

Unasema huvunji sheria za hapo NYUMBANI wakati moja ya sheria nu kwenda kanisani?
Unaakili kweli?
Tayari umevunja moja ya sheria za hapo NYUMBANI.

Tukirudi Huko Iran na Saudia,
Nchi hizo ni Non-secular zinaongozwa Kusini, Ila hakuna sheria inayowataka Wageni wakifika nchi hizo wasilimu yaani wawe waislam. Ingekuwepo ingetekelezwa.

Alafu kitu kingine usichokijua ni kuwa Kitendo cha kufuata sheria za Iran au Saudia ukiwa katika nchi hizo unakuwa muislam indirect way. Licha ya kuwa huendi msikitini. Kwa sababu dini nikufuata sheria na taratibu zilizoanishwa katika vitabu.

Narudia, sio Kwa Mama yako tuu. Hata ukienda kukaa Kwa kakaako, kama sheria za Nyumba yake zinasema kila atakayekaa chini ya paa lake lazima aende Kanisani au msikitini, lazima ufuate. Hautaki ondoka.

Na huwezi lalamika popote. Labda uwe mjinga Kama ulivyo hapa
 
Back
Top Bottom