Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaumiza sana mkuu naomba kama una uelewa toa mchango wako jamaa afanye niniHayo mambo yasikie hivi hivi kwa wenzio
...Labda SIO wake !...Habarini za jioni wapendwa
Natumaini mu waziwa wa afya naomba kwa mwenye uelewa wa mambo haya aweke mchango wake hapa ili kusaidia jamii iko hivi jamaa alioa mwanamke akalipa mahali lakini hawakufunga ndoa ya kupewa cheti sasa wakapata mtoto mmoja baada ya mtoto kufika miaka miwili ao wazazi wakaachana na chanzo ni kwamba binti hataki mtoto aende upande wa Baba yake kwenda kusalimia wakamuone mjukuu swali ni je.? Jamaa anaweza kwenda usitawi wa jamii waruhusu yeye kumchukua mtoto na kumpeleka kwao akasalimie awajue ndugu zake ikiwa mama yeye amegoma hataki kwenda naomba kwa wenye uelewa zaidi watoe maoni yao hapa watu wajifunze kupitia kisa hiki
Naomba kuwasilisha .
Mtoto ni wake 100% tafadhali toa maoni nini afanye kwenye situation kama hii
Kama mtoto ni wake 100%, basi ajitahidi kujua Kwann huyo mwanamke hataki mtoto aende ukweni. Lazima patakuwa na sababu, sidhani kama amekataa from nowhere.Mtoto ni wake 100% tafadhali toa maoni nini afanye kwenye situation kama hii
Ishu ni kwamba wametengana na mtoto yupo kwa mama yake sasa je.? Ataruhusiwa kumchukua ili aende nae kwao na mama yake abaki kwasababu hataki kwendaKama mtoto ni wake 100%, basi ajitahidi kujua Kwann huyo mwanamke hataki mtoto aende ukweni. Lazima patakuwa na sababu, sidhani kama amekataa from nowhere.
Maana kulingana na maelezo yako, pande zote mbili wanafahamiana.
Bila shaka ni imani za kishirikina. Huyo dada atakuwa kaambiwa bibi au babu au wote wanga watamroga mwanae.Habarini za jioni wapendwa
Natumaini mu waziwa wa afya naomba kwa mwenye uelewa wa mambo haya aweke mchango wake hapa ili kusaidia jamii iko hivi jamaa alioa mwanamke akalipa mahali lakini hawakufunga ndoa ya kupewa cheti sasa wakapata mtoto mmoja baada ya mtoto kufika miaka miwili ao wazazi wakaachana na chanzo ni kwamba binti hataki mtoto aende upande wa Baba yake kwenda kusalimia wakamuone mjukuu swali ni je.? Jamaa anaweza kwenda usitawi wa jamii waruhusu yeye kumchukua mtoto na kumpeleka kwao akasalimie awajue ndugu zake ikiwa mama yeye amegoma hataki kwenda naomba kwa wenye uelewa zaidi watoe maoni yao hapa watu wajifunze kupitia kisa hiki
Naomba kuwasilisha .
Na ata yeye alimwambia jamaa kwamba eti je wakimfanya mtoto amsahau itakuaje ila sasa mimi nataka kujua kisheria ikoje hii iwapo jamaa atamchukua mtoto na kwenda nae akasalimieBila shaka ni imani za kishirikina. Huyo dada atakuwa kaambiwa bibi au babu au wote wanga watamroga mwanae.
Nmeshuhudia vitu vya namna hii sana madada wanaamini haya mambo sana na huko makanisani wanawambia vitu kama hivi.
Hapo itabdi demokrasia ikishindikana atumie nguvu hakuna namna
Kugombaia mtoto ni utoto sana! Mtoto akikua ataanua cha kufanya. Huyo jamaa anashindwa kutafuta watoto wengine kwa mwanamke mwingine?! Kwani bila huyo mtoto kwenda kwa babu zake huyo Jamaa atakufa?! Ujinga ujinga tu.Mtoto ni wake 100% tafadhali toa maoni nini afanye kwenye situation kama hii
Mtoto anauma sana anyway ushauri wako umepokelewaKugombaia mtoto ni utoto sana! Mtoto akikua ataanua cha kufanya. Huyo jamaa anashindwa kutafuta watoto wengine kwa mwanamke mwingine?! Kwani bila huyo mtoto kwenda kwa babu zake huyo Jamaa atakufa?! Ujinga ujinga tu.
Najua mtoto anauma, lakini the more you fight for ndivyo unavyozidi kuwa frustrated. Ni heri kupunguza tension nyingi kuliko upate kiharusi. Unazaa na mwanamke mwingine huku ukitengeneza pesa, mtoto akianza kupata ufahamu unamtupiatupia chochote kitu wakati akiwa masomoni huku akiendelea kukutambua. Shida iko wapi?Mtoto anauma sana anyway ushauri wako umepokelewa
Nashukuru sana mkuu ili ni wazo zuri linaweza kupunguza misukosuko kabisaNajua mtoto anauma, lakini the more you fight for ndivyo unavyozidi kuwa frustrated. Ni heri kupunguza tension nyingi kuliko upate kiharusi. Unazaa na mwanamke mwingine huku ukitengeneza pesa, mtoto akianza kupata ufahamu unamtupiatupia chochote kitu wakati akiwa masomoni huku akiendelea kukutambua. Shida iko wapi?
Hivi hii hua inasababishwa na nini?🤔🤔.. I can relateKama mtoto bado ni mdogo sana. Jamaa atulie tu kidogo. Soon atakuakua na ataweza kwenda.
Kama ni muhimu mno kwa hao ndugu kumjua mtoto basi waje kwa jamaa, kisha jamaa amchukue mtoto awajue ndugu zake.
Huyo binti anaweza kuwa na kinyongo tu, au anaweza kuwa na sababu sensitive kabisa.
Mfano: Mimi na bro wangu tuliepelekwa kijijini tukiwa na miaka 4 na 6, respectively. Jamaa hakurudi town, alifia kule kule na mie niliponea chupuchupu tu. Hivyo mwanangu hatakaa aende kijijini mpaka teenage labda.
Nadhani kubadilisha mazingira na kinga mwili dhaifu ya watoto vikiungana na huduma mbovu za afya maeneo ya vijijini hupelekea vifo vya watoto wengi japo watu huhusisha na ushirikina. Sh×t I don't buy.Hivi hii hua inasababishwa na nini?🤔🤔.. I can relate
Sio kila Babu na Bibi ni wa kijijini wengine wapo mjiniKama mtoto bado ni mdogo sana. Jamaa atulie tu kidogo. Soon atakuakua na ataweza kwenda.
Kama ni muhimu mno kwa hao ndugu kumjua mtoto basi waje kwa jamaa, kisha jamaa amchukue mtoto awajue ndugu zake.
Huyo binti anaweza kuwa na kinyongo tu, au anaweza kuwa na sababu sensitive kabisa.
Mfano: Mimi na bro wangu tuliepelekwa kijijini tukiwa na miaka 4 na 6, respectively. Jamaa hakurudi town, alifia kule kule na mie niliponea chupuchupu tu. Hivyo mwanangu hatakaa aende kijijini mpaka teenage labda.
Nimekupata vizuri kiongozi 👊👊Nadhani kubadilisha mazingira na kinga mwili dhaifu ya watoto vikiungana na huduma mbovu za afya maeneo ya vijijini hupelekea vifo vya watoto wengi japo watu huhusisha na ushirikina. Sh×t I don't buy.
My bro passed on kwa ajili ya yellow fever.
Siku hizi nikifikiria, naona kabisa tatizo lilikuwa ni huduma mbovu za afya ndo zilipelekea kumpoteza.