Mzazi mwenzake hataki baba wa mtoto ampeleke mtoto kwa babu na bibi zake upande wa baba

Bila shaka ni imani za kishirikina. Huyo dada atakuwa kaambiwa bibi au babu au wote wanga watamroga mwanae.
Nmeshuhudia vitu vya namna hii sana madada wanaamini haya mambo sana na huko makanisani wanawambia vitu kama hivi.
Hapo itabdi demokrasia ikishindikana atumie nguvu hakuna namna
kama ni jibu vile
 
Habarini za jioni wapendwa

Natumaini mu waziwa wa afya naomba kwa mwenye uelewa wa mambo haya aweke mchango wake hapa ili kusaidia jamii iko hivi jamaa alioa mwanamke akalipa mahali lakini hawakufunga ndoa ya kupewa cheti sasa wakapata mtoto mmoja baada ya mtoto kufika miaka miwili ao wazazi wakaachana na chanzo ni kwamba binti hataki mtoto aende upande wa Baba yake kwenda kusalimia wakamuone mjukuu swali ni je.? Jamaa anaweza kwenda usitawi wa jamii waruhusu yeye kumchukua mtoto na kumpeleka kwao akasalimie awajue ndugu zake ikiwa mama yeye amegoma hataki kwenda naomba kwa wenye uelewa zaidi watoe maoni yao hapa watu wajifunze kupitia kisa hiki

NB: Kwa sasa uyo binti anataka kusafiri aondoke hapo kwao aende sehemu ambayo mzazi mwenzake haijui je apo pia imekaaje.

Naomba kuwasilisha .
Huyu ni wewe unaomba ushauri kimya kimya kataa mahusiano na wanawake wa kaskqzini
 
Inawezekana kihalisia huyo Mtoto sio wake,
Kuna kooo mtoto hupewa dawa na Babu yake au bibi yake, kama sio mjukuuu wao halisi, akishainywa Ile dawa hakai mizimu ya ukooo inamuuwa, kama sio wao
 
Aache kumpa hela ya kumtunza mtoto mpaka atakapo ruhusu mtoto kwenda kwa babu na bibi yake
 
Habarini za jioni wapendwa

Natumaini mu waziwa wa afya naomba kwa mwenye uelewa wa mambo haya aweke mchango wake hapa ili kusaidia jamii iko hivi jamaa alioa mwanamke akalipa mahali lakini hawakufunga ndoa ya kupewa cheti sasa wakapata mtoto mmoja baada ya mtoto kufika miaka miwili ao wazazi wakaachana na chanzo ni kwamba binti hataki mtoto aende upande wa Baba yake kwenda kusalimia wakamuone mjukuu swali ni je.? Jamaa anaweza kwenda usitawi wa jamii waruhusu yeye kumchukua mtoto na kumpeleka kwao akasalimie awajue ndugu zake ikiwa mama yeye amegoma hataki kwenda naomba kwa wenye uelewa zaidi watoe maoni yao hapa watu wajifunze kupitia kisa hiki

NB: Kwa sasa uyo binti anataka kusafiri aondoke hapo kwao aende sehemu ambayo mzazi mwenzake haijui je apo pia imekaaje.

Naomba kuwasilisha .
je hao wazazi wana dini gani?tukipata jibu ndipo msaada tutautoa vizuri
 
Pole...zamani kabla ya kuoa tuliwashirikisha wazee....nyumba kidole....pale sawa pale si sawa....wa mjini wakatucheka ati twatafutiwa nke wa kuoa......!@@@
 
Sio wake 100% aanze na dna sio stori za wamefanana
Mtoto ni wake 100% kumbuka haya yanatokea baada ya wao kutengana ila mwanzo mambo yalikua vizuri tu na walikua wanaenda kwa wazazi wa pande zote bila shida
 
Habarini za jioni wapendwa

Natumaini mu waziwa wa afya naomba kwa mwenye uelewa wa mambo haya aweke mchango wake hapa ili kusaidia jamii iko hivi jamaa alioa mwanamke akalipa mahali lakini hawakufunga ndoa ya kupewa cheti sasa wakapata mtoto mmoja baada ya mtoto kufika miaka miwili ao wazazi wakaachana na chanzo ni kwamba binti hataki mtoto aende upande wa Baba yake kwenda kusalimia wakamuone mjukuu swali ni je.? Jamaa anaweza kwenda usitawi wa jamii waruhusu yeye kumchukua mtoto na kumpeleka kwao akasalimie awajue ndugu zake ikiwa mama yeye amegoma hataki kwenda naomba kwa wenye uelewa zaidi watoe maoni yao hapa watu wajifunze kupitia kisa hiki

NB: Kwa sasa uyo binti anataka kusafiri aondoke hapo kwao aende sehemu ambayo mzazi mwenzake haijui je apo pia imekaaje.

Naomba kuwasilisha .
Yani wote waliotoa maoni ni kama hawajaelewa kinacho hitajika siku hizi jamii forum ya great thinkers imeisha kabisa.
 
Mtoto ni wake 100% kumbuka haya yanatokea baada ya wao kutengana ila mwanzo mambo yalikua vizuri tu na walikua wanaenda kwa wazazi wa pande zote bila shida
Alipima DNA?mama ndio anajua baba wa mtoto
 
DNA utaishia kudanganywa tu ipo njia ilitumika kutambua hilo nanhata siku mimba inashika jamaa alijua yani hesabu zote ziko sawa
 
Back
Top Bottom