Mzazi mwenzake hataki baba wa mtoto ampeleke mtoto kwa babu na bibi zake upande wa baba

Mzazi mwenzake hataki baba wa mtoto ampeleke mtoto kwa babu na bibi zake upande wa baba

mwambie atulia kama mjinga flani alafu atafute pesa kwa nguvu zote

huo ni mtego
 
Huyo jamaa ni yeye ndio aliyemtolea huyo binti mahari au huyo binti ndio alimtolea jamaa mahari?? Haingii akilini eti mwanamke hataki mtoto akasalimie bibi na babu yake, hapo inabidi ubabe/udikteta utumike, ukileta demokrasia kwenye hali hiyo hautofanikiwa
Kuna vitu havitaji kugombana sanaa.. Yani uanze kugombania mtoto kwenda kwa Babu yake????? Kuweni serious bhana.. huyo jamaa amuache tu huyo mwanamke ajizungushe weee akichoka mbona atasema mwenyewe pengine hata mtoto atataka aishi na baba yake ambae ni jamaaa.
 
Ha ha ha pole sana sema labda wewe ndio unalipia wa wenzako kwasababu hauna self confidence hivyo inaonyesha wazi kabisa huna mtoto ambae ni wako 😂😂 kimtokacho mtu ndio kinaujaza moyo
Shauri yako mm nna wawili mabwege kama wewe mnalipa ada
 
Ha ha ha pole sana sema labda wewe ndio unalipia wa wenzako kwasababu hauna self confidence hivyo inaonyesha wazi kabisa huna mtoto ambae ni wako 😂😂 kimtokacho mtu ndio kinaujaza moyo
Jidsnganye sio swala niko proud of ila wanawske wanazaa na wanayempenda na hutajua .usilete kunihukumu mm ww pima huyo mwanamke tabia aloonesha nauzoefu nayo
 
Ha ha ha pole sana sema labda wewe ndio unalipia wa wenzako kwasababu hauna self confidence hivyo inaonyesha wazi kabisa huna mtoto ambae ni wako
Shauri yako mm nna wawili mabwege kama wewe mnalipa ada

Jidsnganye sio swala niko proud of ila wanawske wanazaa na wanayempenda na hutajua .usilete kunihukumu mm ww pima huyo mwanamke tabia aloonesha nauzoefu nayo
Jifunze kujiamini kuanzia leo itakusaidia maishani mwako.
 
Back
Top Bottom