Mzazi mwenzake hataki baba wa mtoto ampeleke mtoto kwa babu na bibi zake upande wa baba

Mzazi mwenzake hataki baba wa mtoto ampeleke mtoto kwa babu na bibi zake upande wa baba

Mtoto ni wake 100% kumbuka haya yanatokea baada ya wao kutengana ila mwanzo mambo yalikua vizuri tu na walikua wanaenda kwa wazazi wa pande zote bila shida
Ww mzee kwenda pande mbili ndo dna? Kuwa vizuri ndo watoto ni wako? Aman na kupendana na mkeo sio dna kama umeoa muigizaji mzuri je?
MAMA AKIONESHA KUDHARAU MSMLAKA YA MUME Kwa watoto huyo mwambie ashukuru sana mungu .akapime dna
PIMA DNA
PIMA DNA
PIMA DNA
Ninakwambia unatafuta vimaelezo huyo sio jamaako ni ww unampenda sana huyo mwanamke husikii ukwel tena
BAADA YA KUPIMA DNA NDO MENGINE TUTKUSHAURI .
 
DNA utaishia kudanganywa tu ipo njia ilitumika kutambua hilo nanhata siku mimba inashika jamaa alijua yani hesabu zote ziko sawa
Hakuna kitu kama hesabu ziko sawa mwanamke hata mungu anamuogopa aliposema ishini nae kwa akili alimaanisha .hayo mambo yameisha skuiz dna ni kweli mm na watoto 3 bado wako under 10 .lazima nkapime wote na sijawahi mfumania mke wala kuhisi ila ubwege duniani ni kulea mtoto wa mwengine .
 
Habarini za jioni wapendwa

Natumaini mu waziwa wa afya naomba kwa mwenye uelewa wa mambo haya aweke mchango wake hapa ili kusaidia jamii iko hivi jamaa alioa mwanamke akalipa mahali lakini hawakufunga ndoa ya kupewa cheti sasa wakapata mtoto mmoja baada ya mtoto kufika miaka miwili ao wazazi wakaachana na chanzo ni kwamba binti hataki mtoto aende upande wa Baba yake kwenda kusalimia wakamuone mjukuu swali ni je.? Jamaa anaweza kwenda usitawi wa jamii waruhusu yeye kumchukua mtoto na kumpeleka kwao akasalimie awajue ndugu zake ikiwa mama yeye amegoma hataki kwenda naomba kwa wenye uelewa zaidi watoe maoni yao hapa watu wajifunze kupitia kisa hiki

NB: Kwa sasa uyo binti anataka kusafiri aondoke hapo kwao aende sehemu ambayo mzazi mwenzake haijui je apo pia imekaaje.

Naomba kuwasilisha .
Mtoto sio wa msela ndio maana anagoma maana wazazi wetu wana kipaji cha asili cha kujua kama ni mjukuu wao au sio wao ndio maana wanaume wengi wanakataa watoto kwasababu kama hzo.
 
Mtoto sio wa msela ndio maana anagoma maana wazazi wetu wana kipaji cha asili cha kujua kama ni mjukuu wao au sio wao ndio maana wanaume wengi wanakataa watoto kwasababu kama hzo.
Hujaelewa somo bado kumbuka uyo mtoto ameshakaa sana kwa ao Babu na Bibi kabla ya wazazi kutengana io ya binti kukataa ni kwa muda huu walipo tengana sasa ao wazazi kama wana io mbini si ingeshafanyika miaka tangu mtoto kazaliwa na wakaishi nae
 
Ba
Ww mzee kwenda pande mbili ndo dna? Kuwa vizuri ndo watoto ni wako? Aman na kupendana na mkeo sio dna kama umeoa muigizaji mzuri je?
MAMA AKIONESHA KUDHARAU MSMLAKA YA MUME Kwa watoto huyo mwambie ashukuru sana mungu .akapime dna
PIMA DNA
PIMA DNA
PIMA DNA
Ninakwambia unatafuta vimaelezo huyo sio jamaako ni ww unampenda sana huyo mwanamke husikii ukwel tena
BAADA YA KUPIMA DNA NDO MENGINE TUTKUSHAURI .
Hujaelewa chochote kinachohitaji sio hicho ulicho jibu rudia kusoma tena.
 
Kama mtoto ni wake 100%, basi ajitahidi kujua Kwann huyo mwanamke hataki mtoto aende ukweni. Lazima patakuwa na sababu, sidhani kama amekataa from nowhere.

Maana kulingana na maelezo yako, pande zote mbili wanafahamiana.
Labda ndo maelekezo ya Nabii X..
 
Huyo mtoto sio wa jamaa, binti anajaribu kukwepa msala maana mtoto akienda ukweni tu siri itajulikana maana mashangazi na mabibi upande wa kiumeni huwa hawapokei watoto ambao sio damu yao.
 
Uyo mtoto ameishi ukweni tangu amezaliwa kakaa uko mwaka na miezi miwili
Huyo mtoto sio wa jamaa, binti anajaribu kukwepa msala maana mtoto akienda ukweni tu siri itajulikana maana mashangazi na mabibi upande wa kiumeni huwa hawapokei watoto ambao sio damu yao.
 
Sasa hapa wakongwe tushajua mtoto si wako tunashauri nn tena.mpe talaka kazaa nje
Kama kweli wewe ni mkongwe na ndio icho umegundua basi nakupa pole kwasababu bado hujagundua kitu labda rudia kusoma tena mada inahusu nini
 
Kama kweli wewe ni mkongwe na ndio icho umegundua basi nakupa pole kwasababu bado hujagundua kitu labda rudia kusoma tena mada inahusu nini
Nimerudia mara 3.dada baada ya kutengana makucha ya ukweli wa kumleta mtoto kwa watu sio ndugu zake wa damu roho inakataa
 
Nimerudia mara 3.dada baada ya kutengana makucha ya ukweli wa kumleta mtoto kwa watu sio ndugu zake wa damu roho inakataa
Anyways tayari amesha kubali kumpa jamaa mtoto aende nae japo yeye kagoma haendi kwaio jamaa anaenda yeye na mtoto wake tu
 
Bila shaka ni imani za kishirikina. Huyo dada atakuwa kaambiwa bibi au babu au wote wanga watamroga mwanae.
Nmeshuhudia vitu vya namna hii sana madada wanaamini haya mambo sana na huko makanisani wanawambia vitu kama hivi.
Hapo itabdi demokrasia ikishindikana atumie nguvu hakuna namna
HILI NDIYO JIBU SAHIHI,
 
Anyways tayari amesha kubali kumpa jamaa mtoto aende nae japo yeye kagoma haendi kwaio jamaa anaenda yeye na mtoto wake tu
Hilo nlokwambia atakuja jua uzeen baba wa mtoto anaangalia tu
 
Huyo jamaa ni yeye ndio aliyemtolea huyo binti mahari au huyo binti ndio alimtolea jamaa mahari?? Haingii akilini eti mwanamke hataki mtoto akasalimie bibi na babu yake, hapo inabidi ubabe/udikteta utumike, ukileta demokrasia kwenye hali hiyo hautofanikiwa
 
Tayari binti ameshakubali mkuu
 
Back
Top Bottom