Mzazi mwenzake hataki baba wa mtoto ampeleke mtoto kwa babu na bibi zake upande wa baba

kama ni jibu vile
 
Huyu ni wewe unaomba ushauri kimya kimya kataa mahusiano na wanawake wa kaskqzini
 
Inawezekana kihalisia huyo Mtoto sio wake,
Kuna kooo mtoto hupewa dawa na Babu yake au bibi yake, kama sio mjukuuu wao halisi, akishainywa Ile dawa hakai mizimu ya ukooo inamuuwa, kama sio wao
 
Aache kumpa hela ya kumtunza mtoto mpaka atakapo ruhusu mtoto kwenda kwa babu na bibi yake
 
je hao wazazi wana dini gani?tukipata jibu ndipo msaada tutautoa vizuri
 
Pole...zamani kabla ya kuoa tuliwashirikisha wazee....nyumba kidole....pale sawa pale si sawa....wa mjini wakatucheka ati twatafutiwa nke wa kuoa......!@@@
 
Sio wake 100% aanze na dna sio stori za wamefanana
Mtoto ni wake 100% kumbuka haya yanatokea baada ya wao kutengana ila mwanzo mambo yalikua vizuri tu na walikua wanaenda kwa wazazi wa pande zote bila shida
 
Yani wote waliotoa maoni ni kama hawajaelewa kinacho hitajika siku hizi jamii forum ya great thinkers imeisha kabisa.
 
Mtoto ni wake 100% kumbuka haya yanatokea baada ya wao kutengana ila mwanzo mambo yalikua vizuri tu na walikua wanaenda kwa wazazi wa pande zote bila shida
Alipima DNA?mama ndio anajua baba wa mtoto
 
Alipima DNA?mama ndio anajua baba wa mtoto
DNA utaishia kudanganywa tu ipo njia ilitumika kutambua hilo nanhata siku mimba inashika jamaa alijua yani hesabu zote ziko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…