Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

Pesa ina nguvu sana..never underestimate it.

Demu anakupenda ila kuna mndewa anamweka mjini..so lazima agawanye tu huduma..
 
Mmmh pole yako, muhimu tafuta pesa then toa pesa ya matumizi kwa mtoto, ukishindwa hapo hutokuwa mwanaume tena
 
Bàada ya kusoma maelezo yako nikushauri tafuta pesa kwanza halafu utafute mwanamke mwingine
Hilo nalo neno.. shida yote ya kuletewa madharau ni kwamba jamaa hana ndalama.
Na akizipata ndalama azitendee haki kwa kichakata mbususu tofauti tofauti
 
Pesa ina nguvu sana..never underestimate it.

Demu anakupenda ila kuna mndewa anamweka mjini..so lazima agawanye tu huduma..
Tena ina nguvu hafi kuwafanya warembo wawili wakupe utam utam kwa wakati mmoja.
 
Tatizo ukimwi
 
Maneno mawili tu.

PIGA CHINI


Mwanaume halisi na mwenye maamuzi kamwe hawezi kuvumilia usaliti.Mwanamke awe mchawi,mchoyo au tabia zingine mbaya lakini si kugawa uchi.Tena hapo bado hajaolewa! Shukuru sana,Je ungekuwa umemuoa? Piga chini! Hakuna cha pesa mwanamke anayejielewa na mwenye hofu ya Mungu hawezi vua chupi kisa pesa.Tafuta mwanamke mwingine wife material umlee mwanao.
 
Piga dauka mzee! Kwani mwanamke ni yeye tu? Huko Musoma hakuna wanawake unaokutana nao wa kumzidi yeye.? Fanya jitihada za kulea mtoto wenu tu kwa ushirikiano wa matumizi.

Acha kua mtumwa wa mapenzi bro, huna chako hapo...
 
Pesa ina nguvu sana..never underestimate it.

Demu anakupenda ila kuna mndewa anamweka mjini..so lazima agawanye tu huduma..
Sure...

Mwanamke ni mwalimu wa chekechea, mshkaji anafanya kazi ya kujitolea... afu wanakaa mikoa tofauti.

Yani hapo hata katibu kata lazima ammegee kiroho safi kabisa
 
Huyo dada anajiamini kweli [emoji16], yaani wote kawaweka kiganjani na mnafahamu na bado mnanyenyekea [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi bado mko wapuuzi kama nyie?

Hili nalo ni la kuomba ushauri?

Wanaume tunazidi kupungua aisee.

#YNWA
 
Anakupenda. Huyo mwingine ni kamapani ya MAONGEZI tu ili kupunguza stress.
MRUDIE MKALEE MTOTO WENU bwana
Kinachosumbua hapo ni umbali tu ni ngumu sana binadamu aliyekamilika kuishi mpweke mwaka mzima lazima atafute kampani.
Cha msingi kama mtoa mada yuko serious na anataka kumuoa anatakiwa amuhamishe au yeye ahame waishi mkoa mmoja

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu bb2 una roho nzuri sana tena ya ungwana, kwangu Mimi huo usiku ungekuwa mrefu sana, na namba zake za simu ningefuta pale pale mbele na kuondoka bila kuaga. Hili jambo ni zito sana mkuu kukushauri maana kama haijawahi kukutokea utachukulia kawaida sana, lakini binafsi na umri nilionao kipindi hiki na tabia za watu nilizoziona huyo mwanamke hakufai hata kidogo kwa sababu siyo mwaminifu na hana malengo na wewe.
Mwanamke kuwa na wanaume zaidi ya mmoja siyo shida, lakini kwa mwanamke anaejitambua inatakiwa iwe siri kweli kweli kwa mtu wake, siyo kumleta mpaka ndani ya chumba unachofikia.
 
Una hasira za HAMZA

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Masikini pole, yani nawe ukaambiwa umpishe kidume mwenzio aje alale nawewe ukapisha?!!!.....
Huyu mwanamke akikuacha atajuta milele
No! Aliambiwa atoke waende kulala guest yeye na mzazi mwenzie nyumbani pasibaki mtu ili jamaa akija akose wa kumfanyia fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…