Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

Nakazia "PIGA CHINI"
 
No! Aliambiwa atoke waende kulala guest yeye na mzazi mwenzie nyumbani pasibaki mtu ili jamaa akija akose wa kumfanyia fujo
Na unaweza kukuta huko gesti aliyelipia ni mwanamke... wonders shall never end
 
Afadhali yangu mimi nimejitolea liwalo na liwe. Mi niko Dar, Nuzulati yuko Handeni lakini naamini hanicheat. Na hata akinicheat hanicheat kiviiiile...

Ndio maana sijawahi kumwanzishia thread....

Long distance relationships never work... trust me. Ni kujipa moyo na imani ya kujifariji tu, ila kugongewa kumo sana tu. Yani ukae miezi sita mpenzi yuko mbali afu ujiaminishe havuliwi au havui chupi??


Hebu acheni ujinga basi... Yani mtu unaishi naye na bado unagongewa sembuse mtu yuko kilometa 800 kwa miezi mitatu?

Maimaimai...
 
Nimeona comments zenu nyote hamuji kwenye point.Kosa lako la kwanza ni kuzini nae na pili ni kuzaa mtoto wa haramu ,hata kama ni mwanao ujue si halali yako la tatu ndio hilo uloliona mbele yako ww unafikiria mapenzi tu .mwanamke yyote unaempenda sio kuzini nae au mnajaribu ni kumuoa tu ndio utakuwa na uchungu nae hapo mzee wangu hata uchungu nae huna kama ulipiga na yeye anapigwa anangalia maslahi yake tu mapenzi yashakufa kuna kitu kinaitwa PESAAAAAAA (RESPECT)
 

Embu mle halima mdee sheikh
 
Mkiu imesha tutokea lakini unatazama Nani na Nini sababu halafu una vumilia TU ikiwa sababu Ni wewe KUMBUKA jamaa kamtelekeza na mtoto mdogo halafu huwenda hata mawasiliano HAYAKUWA njema.
Kingine huyu mleta mada unadhani yet alikaa mwaka mzima Kama malaika? Ukishapata majibu ya maswali hayo una acha Mambo mengine yapite tu na maisha yaendelee
 
Duh! Umeamua kuwa muwazi zaidii
 
huwa na wasiliana nae mara kwa mara na huwa nawahudumia wote kwa ujumla
 
kwwnye mapnz sitoagi ushauri cha muhim angalia hiaia zako lkn usisahau AKILI zako
 
kwel kabisa
 
kwel kabisa asante kwa ushauri wako mzuri na wakujenga
 
nashukuru sana kwa ushauri mzur
 
Pole kwa kukoment babe mimi sikucheat kivile hutakaa ujue 🥰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…