Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

huwa na wasiliana nae mara kwa mara na huwa nawahudumia wote kwa ujumla
Mkuu huyo bi Dada Hana ujuzi wowote?
Na kwanini usimuoe TU?
Au bado upo upo kwanza?
 
Acha mara moja huyo ni Dorothy Gwajima kabisa kama sio Manara!
 
mtu yeyote anaweza kulala namwanamke, lakini mwanamke kukubali kuzaa na wewe ni kiwango kikubwa cha kukuamini, sema baadae wanabaki kuumizwa lakini point ni alikuamini muweze kuzaa pamoja!! angalia sana upande wako ulikosea wapi, ukiona kuna makosa hasa ya kumkalia kimya, rudi na ujirekebishe!! ua zuri lazima lizongwe na miba, huyo mwanamke ungemkuta single angekua na shida,,
 
Jibu ni moja tu..haina kujadiri...achana nae haraka na hata guest house usingeenda, ungebeba mizigo yako usepe,wanawake ni pumbavu sana isipokua MAMA yako tu ambaye naye ana shida zake kwa BABA
 
Ushafanywa jogoo la kuazima na si ajabu hata mtoto anaweza akawa kifaranga cha kuazima...

Tembea mbele haraka mno...dharau gani hizo za kufuli kushea funguo!!!
Noma sana kufuli kushea funguo

Na hii mtu hana msimamo juu ya hisia zake mpaka kuchanganyana noma zaidi
 
Fanya yote kumbuka kuna maradhi.Mpigie jamaa mueleze ukweli huyo manzi ajielewi hata akiwa naye atamwambia kama anavyo kuambia wezakuta mtoto ana zaidi ya baba mmoja we ni ba mlezi.
 
Tafuta Mwanamke mwingine huyo ameshakua sugu hata akilia haibadilishi ukweli wa tabia yake mbofu mbofu,Hapo anakutega mfunge ndoa, kitachofuata hapo atakua na hakika ya ndoa hivyo mizinguo mtindo mmoja.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Yani ananyanyasika kisa hana HELA anaachwa baada atafute hela anataka akatafute mwanamke mwingine[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Akiweza ambebe huyo mwanamke waende nae akamhudumie japo sidhani kama ataweza maana huko aliko Anajitolea mkuu..
 
Fanya yote kumbuka kuna maradhi.Mpigie jamaa mueleze ukweli huyo manzi ajielewi hata akiwa naye atamwambia kama anavyo kuambia wezakuta mtoto ana zaidi ya baba mmoja we ni ba mlezi.
poa kaka nimekupata
 
We huwajui watu yaani akutamkie sikupendi kabisa?uliona wapi tena wengine ni waigizaji wanalia kabisa,emu acha ujinga amka usingizini kumekucha mpuuzi wewe,
 
We huwajui watu yaani akutamkie sikupendi kabisa?uliona wapi tena wengine ni waigizaji wanalia kabisa,emu acha ujinga amka usingizini kumekucha mpuuzi wewe,
shehe nlisema nataka matusi au ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…