Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Mtoto hulelewa na Mama Duniani kote Baba hua anatunza familia,Kwani Kwa nini atenganishwe na Baba yake?
Kama swala ni Kulea wote basi mwenye uwezo wa kutoa matunzo ndiye asikilizwe wapi mtoto akasome, achague shule.
Tatizo la wanawake wengi wakiachwa wanadhani wananafasi Ileile waliyokuwa nayo Kwa mwanaume Fulani.
Akiona watoto wa mke mpya wanapelekwa International school Naye anataka wakwake naye apelekwe ilhali hajui kuwa wenzake wamepanga na sio ajabu mke mpya ndiye anayegharamia sehemu ya Ada Kwa watoto.
Pia kwanini umemuhukumu huyo Mwanamke unamjua?? Unaijua kazi aifanyayo huyo Mwanaume? Unajua sababu za kuachana na walikubaliana yepi???
Kwanini mmeanza kumlisha Maneno bila kujua story yake nzima??
Nyie hamna Familia ndio maana mnaropoka ropoka tu humu, endeleeni kutafuta kazi kwanza acheni wenye uelewa wa Familia ndio wa Comment.