Mzazi mwenzangu hahudumii mtoto; nataka nimpeleke mahakamani

Kwani Kwa nini atenganishwe na Baba yake?

Kama swala ni Kulea wote basi mwenye uwezo wa kutoa matunzo ndiye asikilizwe wapi mtoto akasome, achague shule.

Tatizo la wanawake wengi wakiachwa wanadhani wananafasi Ileile waliyokuwa nayo Kwa mwanaume Fulani.
Akiona watoto wa mke mpya wanapelekwa International school Naye anataka wakwake naye apelekwe ilhali hajui kuwa wenzake wamepanga na sio ajabu mke mpya ndiye anayegharamia sehemu ya Ada Kwa watoto.
Mtoto hulelewa na Mama Duniani kote Baba hua anatunza familia,

Pia kwanini umemuhukumu huyo Mwanamke unamjua?? Unaijua kazi aifanyayo huyo Mwanaume? Unajua sababu za kuachana na walikubaliana yepi???
Kwanini mmeanza kumlisha Maneno bila kujua story yake nzima??

Nyie hamna Familia ndio maana mnaropoka ropoka tu humu, endeleeni kutafuta kazi kwanza acheni wenye uelewa wa Familia ndio wa Comment.
 
Nimesema Wanawake wengi sijamtaja mtoa mada.

Nani alikuambia hatuna familia?
Unadhani kuwa na familia ni Jambo kubwa Sana?
 
Yes ni jambo kubwa sanaaa,
Sio kuzalisha bali kuijenga Familia iliyo bora sio mchezoooooo
 
"Asavali" umekuja hebu leta kisa kamali ili ushauriwe ipasavyo vinginevyo yataendelea haya mabishano yasiyo na msingi na badala ya kupata masaada wa mawaza ukaishia kukatishwa tamaa
Wanaotukana hawana msaada lakini tayar walionielewa wamenipa ushauri mzuri tu nashukuru
 
Naomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu.

Mtoto ana miaka 9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia ada na matumizi yote lakini safari hii hali imekua ngumu nimeshindwa na nimemuambia kiungwana tu kakataa kasema hana hela niuze nyumba nimlipie ada mtoto.

Alikua ni mtoto wa kwenye ndoa ila tuliachana kabla mtoto hajaanza shule.
Mahakamani mbali, wewe nenda polisi tu dawati la jinsia, ataitwa na mtakubaliana awe anatuma ngapi kwa mwezi..
 
Naomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu.

Mtoto ana miaka 9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia ada na matumizi yote lakini safari hii hali imekua ngumu nimeshindwa na nimemuambia kiungwana tu kakataa kasema hana hela niuze nyumba nimlipie ada mtoto.

Alikua ni mtoto wa kwenye ndoa ila tuliachana kabla mtoto hajaanza shule.
Mmh, ushauri wa kwanza nimeshauri bila kusoma vizuri, achana nao.

Ni hivi, kama uliamua kumpeleka shule binafsi ili hali shule za bure zipo, hapo huwezi kumlazimisha alipe ada, atakuambia mumuhamishie shule za serikali.

Kiujumla, shule za gharama kubwa ni kwa ajili ya matajiri, kama wewe sio tajiri kupeleka mtoto huko ni kiherehere chako tu..
 
Naomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu.

Mtoto ana miaka 9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia ada na matumizi yote lakini safari hii hali imekua ngumu nimeshindwa na nimemuambia kiungwana tu kakataa kasema hana hela niuze nyumba nimlipie ada mtoto.

Alikua ni mtoto wa kwenye ndoa ila tuliachana kabla mtoto hajaanza shule.

Pole sana Mdau,
Ni challenge za kawaida za co-parenting.

Ikumbukwe kua mtoto ni WENU wote sio WAKE. Namaanisha ni collective responsibility kulea mtoto.

Kwakua mzazi mwenzio amesema hali si nzuri, ukimpeleka mahakamani in future utakua umevunja social bond ya baba na mtoto, anaweza akalipa hata kwa kukopa ila baada ya muda anaweza aingie mitini jumla.

Unaweza pangisha nyumba kama inafaaa, au kama unadhani ukiuza itakupa hela ya kutosha uwekeze na ingine ulipe ada sawa (ila hii iwe chaguo la mwisho).

Pia unaweza kuangalia shule ambazo kiwango cha ada utakimudu provided elimu inayotolewa inakidhi.

Narudia, usitegemee tena baba wa mtoto kama atalipa! Jipange sasa kulea kijana wako!

#mtazamo
 
Kwa nini mnafosi watoto wasome private schools kuanzia primary?

Kama hana pesa unadhani mahakama itamfunga?

Na btw kesi za namna hiyo haziendi mahakamani zinaenda ustawi wa jamii ambako sana sana mtashauriwa mumpeleke shule ambayo inaendana na kipato chenu..
Kuna mmoja nilimjibu hivi akaona mie sipendi maendeleo yake na ya mwanae, akaninunia! Akaenda ustawi wa jamii, wakamwambia yule baba kila mwez apeleke 20, maana elimu ni bure!
 
Naomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu.

Mtoto ana miaka 9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia ada na matumizi yote lakini safari hii hali imekua ngumu nimeshindwa na nimemuambia kiungwana tu kakataa kasema hana hela niuze nyumba nimlipie ada mtoto.

Alikua ni mtoto wa kwenye ndoa ila tuliachana kabla mtoto hajaanza shule.
Kwani shule za serikali wanatoza ada sasaivi? Case anashinda asubui mapema hiyo
 
Kuna mmoja nilimjibu hivi akaona mie sipendi maendeleo yake na ya mwanae, akaninunia! Akaenda ustawi wa jamii, wakamwambia yule baba kila mwez apeleke 20, maana elimu ni bure!
Kuna ushauri nimepata humu wa kukusanya ushahidi wa mali za baba mtoto wangu na huo ndiyo niupeleke mahakaman ili alipe kulingana na uwezo wake ,sina lengo nitajirike kupitia child support lakini nataka kama mzazi nimekwama na yeye asaidie wakati mwingine kuwa postive ni vizuri
 
Kama nyumba kakuachia ..na wewe si usomeshe
Hayo uliyomfanyia Hadi kakuachia nyumba si yanatosha. Wanaume wananyanyasika sana jamani Sasa umemuachia mtu nyumba bado anataka akupeleke mahakamani
 
Kwa nini mnafosi watoto wasome private schools kuanzia primary?

Kama hana pesa unadhani mahakama itamfunga?

Na btw kesi za namna hiyo haziendi mahakamani zinaenda ustawi wa jamii ambako sana sana mtashauriwa mumpeleke shule ambayo inaendana na kipato chenu..
Simpeleki ili nikamfunge bali ili aelewe na asaidie sehem ambayo nimekwama
 
Hili suala lako siyo la mahakamani kwa sababu hakuna kesi ya jinai wala madai hapo, mngekuwa mnabishana mtoto alelewe na nani, au ungekuwa unadai talaka sawa, lakini siyo huduma ya mtoto, hili ni suala la makubaliano yenu wawili, msipokubaliana, anaweza kuamrishwa kumchukua mtoto akae nae yeye baba yake.

Unavyouliza ina nguvu kama mahakamani, na pia hiyo post yako ya chini, ni kama una nia ya kumkomoa jamaa, nikuhakikishie, huwezi kumkomoa kwa kupitia malezi ya mtoto, achana na kupteza muda fanya mambo mengine....

Halafu umeshashauriwa mara nyingi labda una kichwa kigumu, Hapo huendi kudai ada kwa sababu hakuna ada mashuleni, unaenda kudai matunzo ya mtoto,

Niishie hapa, i am done with this thread!
Kuna ushauri nimepata humu wa kukusanya ushahidi wa mali za baba mtoto wangu na huo ndiyo niupeleke mahakaman ili alipe kulingana na uwezo wake ,sina lengo nitajirike kupitia child support lakini nataka kama mzazi nimekwama na yeye asaidie wakati mwingine kuwa postive ni vizuri

Je ina nguvu kama mahakamani,,?
 
Kama nyumba kakuachia ..na wewe si usomeshe
Hayo uliyomfanyia Hadi kakuachia nyumba si yanatosha. Wanaume wananyanyasika sana jamani Sasa umemuachia mtu nyumba bado anataka akupeleke mahakamani
Hajaniachia nimejenga nikiwa nje ya ndoa tayari
 
Back
Top Bottom