Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

Si heri hivyo mkuu fikiria umesomesha mtoto wa kike kafika chuo kikuu kapata kazi nzuri halafu anaolewa na mla ndumu mmoja asiye na kazi Wala nn.Life is funny some time
 
Accessibility
Muajiriwa anauelipwa hio 700K anaweza kumiliki vibanda km hivyo zaidi ya vitano ila wewe mzee mchoma chips sio rahisi kuwa Muajiriwa wa mshahara wa 700K

Reputation
Muajiriwa wa 700K muda wote msafi rahisi kuji Address kwa watu na kutambulisha always he/she is presentable na anaheshimika ila wewe mchoma chips huna yote haya.

Workdone
Muajiriwa wa 700K anaingia kazini morning na kutoka saa 8 na pia jumamosi na jumapili harndi job, ila wewe mchoma chips unafungua morning hadi saa 4 usiku na huna weekend....Pia Muajiriwa anafanya soft works most of time ana relax job ila mchoma chips uamke 11 uende sokoni kubeba gunia za viazi, mkaa nk ukate gunia la viazi, ukaange siku mzima jikoni "nataka rojorojo" "nataka kavu ikaushe" this is hell.

Risk And Security
Muajiriwa wa 700K hata uumwe mwezi mzima still you receive your pay, wewe ukiumwa siku moja tu kazi unayo, Muajiriwa ana mafao zaidi ya 60 Millioni baada ya kazi wewe huna chako nk

This life is full of uncertainty ukiwa na Ajira ya 700K kwa asilimia kadhaa financial uncertainty zitapungua kwako ila mchoma chips Mungu ajaalie kwakweli.

Financial Credit
Mfanyakazi wa 700K anaweza kopa zaifi ya 20 Million ajafanya most potential move, ila mchoma chips hata 100K mtu kukukopesha mtiti.

Ni vizuri pia kujifariji kwasababu hakuna namna na haya maisha.

Unauliza kama kutoamini kuwa kuna nguvu ya Mungu ni sawa? Au ni kuamini kitu kilicho kweli?

Tushaona imani unaweza kuamini hata uongo, kitu cha muhimu ni ukweli. Kwa nini unajikita kwenye imani bado?

Hayo ni maswali mawili tofauti.

Swali la kwanza, kuamini, au kutoamini kwamba kuna nguvu ya Mungu (hizi ni pande mbili za shilingi moja ile ile) sio tu ni sawa, hii ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania. Pia, hii ni haki ya binadamu iliyopitishwa katika Universal Declaration of Human Rights. Azimio hili limepitishwa na Umoja wa Mataifa December 10 1948.

KIla mtu ana haki ya kibinadamu ya kuamini au kutoamini nguvu za Mungu wake anavyotaka. Na katika kuongelea imani, maadam tunaongelea imani tu, hakuna imani iliyoishinda nyingine, maadam haiingilii uhuru wa wengine.

Kwa hivyo, ukitaka kuamini nguvu za Mungu wako ambaye ni mti wa mbuyu, una haki hiyo, na hilo ni sawa. Ukitaka kuamini Mungu wako ni Yesu Kristo Masiha, una haki hiyo, na hilo ni sawa. Ukitaka kuamini Mungu wako Allah, ni haki yako, na hilo ni sawa, ukitaka kuamini miungu yako isiyo na idadi, una haki hiyo, na hilo ni sawa, ukitaka kutoamini Mungu yeyote, kama mimi, ukasema hizi habari za Mungu zote ni ujinga mtupu, hiyo nayo ni haki yako ya kibinadamu, ni sawa tu.

Na mimi, licha ya kutoamini Mungu yeyote, tukiwa katika habari za imani, natetea haki za watu wote kuamini wanavyotaka, au kutoamini, ilimradi kuwe na mipaka mizuri ya kutoingiliana.

Hilo ni swali la kwanza, kutoamini katika nguvu ya Mungu katika maisha ya binadamu ni sawa?

Kwa kuwa tumekubaliana awali kwamba ukweli ni muhimu kuliko imani, kwa sababu ukweli upo mmoja tu, na imani unaweza kuamini hata uongo, tunapata swali la pili tofauti. Swali la kuangalia ukweli.

Je, ukiamini katika nguvu za Mungu unaamini katika ukweli? Huyo Mungu yupi kweli?.

Jibu ni, kwa kuanzia Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote anayesemwa kuwa ni muumba wa vyote, Mungu huyu hayupo, anaweza kuoneshwa kimantiki kwamba huyu ni muhusika wa hadithi ya kutungwa na watu tu, na hivyo, kuamini katika nguvu zake ni sawa na kuangakia sinema ya James Bond 007 na kujirusha kutoka ghorofani ukiamini kwamba utaruka kwa nguvu za Ki James Bond kutika katika filamu ya Casino Royale.
Je ukiamini katika nguvu za Mungu unaamini katika ukweli? Jibu ni ndio bila shaka.
Je huyo Mungu yupo kweli? Jibu ni ndio bila shaka.Mungu yupo kwa namna ambayo binadamu wa kawaida hawezi kumuona kwa macho ya usoni.
Nikuulize, najua kiubinadamu huwa unahudhuria misiba, wakati wanamuombea maiti wewe unakuwa katika wakati gani?huwa unawaza nini?
 
Vijana pia hawapendi kutumia muda wao vizuri wakiwa chuo...
Kama kuna kizazi chenye bahati kedekede ni hiki kilichoanza first year 2019 kuja mbele.
Fursa za mtandaoni ni nyingi na tayari wapo waliotangulia wa kuonesha njia wengi tu
Ukiwa chuo Internet ya bure chuoni si haba
Una back up ya kupata hela home au boom
Unaweza kaa hostel au mtaani kwa kubebana
Kikubwa kuliko huna majukumu ya familia binafsi.....

Kijana uliye chuo pambana na fursa ambazo all you need ni akili yako, laptop na mtandao.... zitakusaidia sababu gharama ni akili yako tu na popote ulipo unaweza kupiga kazi

Sisi wahenga tunaelekea kuvuna matunda
 
Huhitaji degree na mkopo wa HESLB kuuza CHIPS au kuendesha bodaboda.
Kabisaa, hata kufungua mini supermarket. Sema wazazi tunawekeza sana kwenye elimu kulipa ada kubwa kubwa tukidhani elimu tu ndioa suluhisho la maisha.
 
Je ukiamini katika nguvu za Mungu unaamini katika ukweli? Jibu ni ndio bila shaka.
Je huyo Mungu yupo kweli? Jibu ni ndio bila shaka.Mungu yupo kwa namna ambayo binadamu wa kawaida hawezi kumuona kwa macho ya usoni.
Nikuulize, najua kiubinadamu huwa unahudhuria misiba, wakati wanamuombea maiti wewe unakuwa katika wakati gani?huwa unawaza nini?
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo. Kusema tu kwamba Mungu yupo, hakumfanyi awepo.

Unaweza kuthibitisha kwamba Mungu yupo kweli na kwamba imani yako kuwa Mungu yupo si matokeo ya hadithi za uongo ulizopigiwa kwa miaka mingi mpaka ukashindwa kutenganisha uongo na ukweli?

Kuhusu swali lako la msiba.

Nikiwa kwenye msiba watu wanapomuombea maiti mimi nakuwa katika hali ya kuwafikiria wafiwa, kuhakikisha msiba unaenda vizuri, kusaidia kazi za msibani, kutoa rambirambi, kufariji wafiwa, kuwapa taarifa watu wengine ambao hawajapata taarifa za msiba.

Mimi simuombi Mungu, kwa sababu siamini Mungu yupo. Hizo shughuli nyingi anazoombwa Mungu mimi napenda kuzifanya mwenyewe. Kumuomba Mungu ni aina fulani ya kukimbia majukumu.

Kama msiba una upungufu wa chakula, hilo ni jukumu la watu, siamini katika kumuomba Mungu atoe chakula, kwa sababu Mungu hayupo.

Kama watu wanamuomba Mungu amsamehe marehemu makosa yake, mimi naona ni jukumu langu kumsamehe marehemu makosa yake. Mungu hasamehi makosa, kwa sababu hayupo. Hayo maombi ni namna tu ya watu ku deal na situation ambayo hawana nguvu nayo. Kumuomba Mungu ni kujifariji tu.

Muhimu zaidi, hali yoyote nitakayokuwa nayo katika msiba, kqma Mungu hayupo, ataendelea kuwa hayupo tu, nikimuamini, nisipomuamini, sasa kwa nini unasisitiza kuhoji hali nitakayokuwa nayo kwenye msiba badala ya kuhoji ukweli halisi ni upi?

Kwani, kama Mungu hayupo, halafu mimi kwenye msiba nikajisikia kumuombea marehemu kwa Mungu, hiyo hali yangu ya kutaka kumuombea marehemu kwa Mungu ndiyo itafanya Mungu ambaye hayupo awepo?

Hili swali lako lina umuhimu gani katika kutafuta ukweli? Au ni swali random tu limekuja kwa hisia tu bila mantiki?
 
Swali langu likikuja nilidhani wakati wa kumuombea marehemu nawe huwa unaungana kumuombea pia kwa Mungu. Na kama ni hivyo nilijiuliza huwa unamuombea kwa Mungu yupi wakati unaamini Mungu hayupo?! Ndio mantiki ya swali langu hili.
Unapotushinda kwa hoja ni hapo kwenye uthibitisho kwa maana unataka kuamini uwepo wa Mungu mpaka umuone kwa macho? Yanayotokea duniani huoni kuna nguvu isiyoonekana inasababisha?( Mungu)?. Kwahiyo wewe tumaini lako ni nini hapa duniani( egemeo)
Je unadhani hata tukio la kuzaliwa kwako ni matokeo ya mbegu (BABA) na yai ( mama) na si kwamba pia kuna nguvu za Mungu katika uumbaji wako?
 
Sasa mimi siamini Mungu yupo, nitaomba vipi kwa huyo Mungu?

Pia, tofautisha uthibitisho na kuona kwa macho. Unaweza kuona kwa macho kitu ambacho hakipo. Mara nyingi tunaona movies za watu waliokufa, tunawaona kwa macho, je, hilo linathibitisha wapo? Halithibitishi.

Unaweza kuthibitisha, kwa kutumia mantiki, kwamba, mama mzazi wa mtoto ni lazima atakuwa na umri mkubwa kuliko mtoto, bila kumuona mama wala mtoto, kwa kutumia mantiki tu.

Yani katika ulimwengu huu non-relativistic, haiwezekani mtoto akawa na umri mkubwa kuliko mama yake mzazi. Hili halihitaji kumuona mama wala mtoto kuelewa.

Mimi sihitaji kumuona Mungu, nahitaji uthibitisho wenye logical consistency, usio na contradiction, kwamba Mungu yupo.

Nasema hivi, huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo, kwa sababu hayupo. Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.

Kwamba yanayotokea duniani kuna nguvu isiyoonekana inayoyasababisha haimaanishi nguvu hiyo ni Mungu.

Kama vile ambavyo, ukweli kwamba wewe una baba mzazi haumaanishi baba yako mzazi ni James Bond 007. Ukisema baba yako mzazi ni James Bond 007, kama fact, tupe ushahidi na uthibitisho wa hilo.

Usiseme tu "mimi lazima nina baba mzazi, haiwezekani ikawa nimejizaa mwenyewe, hivyo, lazima baba yangu ni James Bond 007". Hapo itakuwa umeunganisha mambo yasiyo na muungano. Logical non sequitur fallacy.

Vivyo hivyo, ukweli kwamba mambo yanayoendelea duniani yana nguvu zisizoonekana zinazoyasababisha, haumaanishi nguvu hizo ni lazima ziwe Mungu.

Umeuliza tumaini langu ni nini? Tumaini langu ni uwezo wa watu kujifunza na kukabiliana na mazingira yao, elimu. Sihitaji Mungu. Kwa sababu Mungu hayupo. Watu wamekufa maelfu ya miaka kwa kukosa dawa za antibiotic, mpaka mwaka 1928 wanasayansi wakazigundua. Huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote alikuwa wapi miaka yote akaachia watu wafe kwa vidonda tu kwa sababu hawakujua kutengeneza antibiotic?

Kuzaliwa kwangu hakuhitaji Mungu, kunahitaji baba na mama yangu tu.

Kwa sababu Mungu, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, angekuwapo, ulimwengu usingekuwa na mapungufu uliyonayo leo.

Na kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
I hate hope. Kuna kauli nazichukia sana. Sijui ni mipango ya Mungu. Sijui kwa mapenzi ya Mungu. Sijui jipe moyo tu mambo yataenda sawa, komaa tu utafanikiwa, hazina uhalisia kabisaaaaaaaaaaaa JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala that's why kuna mijitu haiamin hata uwepo wa Mungu mtu anakwambia tu sijui tumwachie Mungu utapata kazi tu ukicheck huna Connection, huna pesa ufukara kuanzia ngazi ya familia, connection ulizonazo hazina maana huthaminiw huna kitu mtu kitu....
Huwezi kuweka imani kwa Mungu asiye kuwepo..

Maskini huwa wanajipa faraja kwa fictional character (Mungu) ambaye hayupo.
 
Kutoamini uwepo wa Mungu ni kukata tamaa kwa kiwango cha mwisho Kiranga
Una amini Fiction character Mungu halafu unajipa False hopes kwamba yeye ndiye mpaji wa mahitaji yako.

Wakati kutwa kucha unahenya kutafuta pesa kwa nguvu za mwili wako ili kukidhi mahitaji yako.

Mnajifariji na illusion God.

Sijui mnawazaga kwa kutumia makalio, nyie wafia dini?
 
Moja ya mistake sitaki kuifanya ni mwanangu azaliwe Afrika hasa Tanzania.

Hili kosa halijirudii kwa kizazi changu kijacho.

Robert Mugabe aliwahi kusema kwamba

"Once you are born in Africa life is automatically leading you 1-0"
 
Nadhani tukiambiwa Tanzania fursa ziko kibao hatuelewi

Kampuni ya Marekani ya Steers ilipotaka kuja kuwekeza Tanzania kama mwekezaji wa kuuza chips kuku alipata shida sana kuwa biashara hiyo inatakiwa kufanywa na wazawa akahoji hao wazawa chips kuku zao wanahudumia soko la watu wa aina Gani na serikali inapata Kodi kiasi Gani Kwa hao wakaanga chips kuku? Ikaonekana wakaanga chips kuku soko lao uswahilini hawalipi hata Kodi akasajiliwa kama mwekezaji
 
Hivi baba ako akikusomesha kwa gharama kubwa mpaka chuo kikuu then ukaishia kuwa bodaboda. Hivi baba ako akikukuta pale kijiweni mnakopaki pikipiki hivi cjui mnaangalianaje? Unajisikiaje akikuangalia usoni? Ukiwa unasubiria abiria HV baba ako unaweza kumwangalia usoni kweli?....

I can't imagine kichwa kinaniuma.
Yani waafrika sisi tunashida sana.

Taifa linawapa vijana elimu halafu linawasifu kwa kuwa bodaboda wasomi walio jiajiri...[emoji28]

Hii inadhihirisha wazi kwamba Elimu yetu ni UTAPELI.
 
Ndio hivyo ishatokea utafanyaje Sasa na wakati ishatokea hapo bado hujapata ajali lazima baba yako akugaharamie matibabu
 
Uongo Mumiliki wa Steers.mamarekani kampuni ya kuuza chips kuku choma duniani ikiwemo Tanzania mbona bilionea?
Endelea kuota una degree unachoma mishikaki utakua billionaire, una degree unachoma mahindi road utakua billionaire, ntakupiga kidole mda sio mrefu endelea hivyo hivyo
 
Mkuu, aya yako ya mwisho umemaliza kila kitu. Ngozi nyeusi ipo tayari kutapanya mali zake nje ya ukoo bila kujali uendelezaji wa utajiri wake na akawaacha watoto wake wakihangaika. Hii inaendelea kupigilia msumari ubinafsi wa jamii ya watu wetu.

Na huu ujinga wa kuanzia zero tumeendelea kuuona kama sifa kumbe ni kutokujipanga toka zamani na tunaona kama ni sifa hivi.

Bila kubadilika na kuwaza kuwa na utajiri wa familia nzima na sio mtu mmoja mmoja, vijana wetu wataendelea kuhaha na bahasha mitaani tena wakiwa na ufaulu mzuri sana huku vijana wenzao walioenda kusoma kimkakati na wakianza kufurahia maisha mapema baada ya kumaliza shule.
Uko sahihi kbsa
 
Yani waafrika sisi tunashida sana.

Taifa linawapa vijana elimu halafu linawasifu kwa kuwa bodaboda wasomi walio jiajiri...[emoji28]

Hii inadhihirisha wazi kwamba Elimu yetu ni UTAPELI.
Kuna Mzee alishasema mtoto wake kusoma mwisho form4 akimaliza hapo anamtafutia shughuli nyingine ya kufanya hata Serekali iingilie kati kwamba kafaulu kidato cha 5 alafu anamzuia asiendelee na shule mbele akigota Serekali inakaa pembeni
 
Back
Top Bottom