dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
-
- #121
Wakazee tu ila siyo kutyelezee WaislamuAcheni ujinga. Huyo ni bint, hata ikiwaje kumbuka watoto atakaozaa wanakuwa wa mwanaume. Mnaepusha nini kesho mkisikia kazaa na huyo huyo Abdul?
Oa ktk kabil lako na dini yakoUnanikumbusha mbali sana mkuu.
Dini ilinifanya nishindwe kuwa na mwanamke niliyempenda kwa dhati sana. Tulipendana sana lakini mwisho tukaamua tu kunyoosha mikono ya kwamba M/Mungu hakupanga tuje kuwa wote kimaisha daima na milele. Mpaka sasa huwa tunawasiliana, yeye alishaolewa na mm nilishaoa pia kila mtu ana familia.
Huwa tutaonana mara kadhaa iwapo tukipata bahati ya kuwa mkoa mmoja kikazi ama kwa mambo mengine binafsi lakini sio kimapenzi. Tunasaidiana sana kwa mambo mengi ya kimaisha na kimaendeleo pia.
TULIPENDANA SANA.It was and still it will forever be...
Ni kwa mwenye akili "TIMAMU" pekee atalielewa sawasawa swali lakoAtakaeishi na abduli ni mdogo ako, ni baba, au ni nyie wote kama familia??
Lakini yeye atabaki mke kisheria ya Dini na sheria ya nchi na jamii itamtambua, na uzao wake utalelewa na Wazazi wawili. Akiolewa na Muislam kaa ukijua atalea watoto mwenyewe na watoto watakuwa wana muona baba kwa kubahatisha, raha ya ndoa ni kuishi wazazi pamoja na watoto pamoja, siyo Baba anaishi Biguruni na Mama na watoto wanaishi Kibaha.Hata wakristu wana michepuko. Atakuwa mke wa kwanza mwenye msululu wa wake wenza
Sasa mbona hiyo kawaida unachoshqngaa nini?? waislam wanauzuia mabinti zao wasiolewe na dini nyinginr na wakristu pia wanafanya hivo!!Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.
Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.
Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.
Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Olewa wewe kama unaona huyo binti atafaidi,matrako wewe.Ni yeye Ila hatutaki hyo mijaa yakufaa kanzu Sasa mzee Ana pressure
HIYO SIKU YA POSA MNGERISHA KITIMOTO HUYO JAMAA ILI KUPIMA UWEZO .Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.
Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.
Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.
Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Hii stori ni ya kutunga tu,Mleta mada mbona unaonekana ni muislam kabisa na hapa umeleta huu uzi ili kuwachallenge watu kwamba Uislam ni Dini yenye haki , anyway kupanga ni kuchagua
Pole sana,inaonekana wewe mumeo alikuolea mke wa pili,bila shaka aliona mapungufu yako ila akakuonea huruma kukutwanga talaka.Huyo mdogo wenu kichwa ngumu haelewi hao makobaz atalia sana na kuletewa mke wa pili baada ya yeye kuzalishwa watoto 2 au 3 na atajutia, mwelezeni kabisa
Mkuu wanaume wa bara mfano wasukuma, Wakurya, Wamasai wanaoa wake wengi na wakristo , mfano Sisi ni wakristo na Baba yangu ana wake wawili.Juzi juzi nilihudhuria mazishi, ya kikristo, ndani ya mkoa jirani na Dar, kwenye kusoma risala, ilitajwa vibaya ameaacha wake wawili, ikatuaacha watu tunaondoka na tafakari.
Ikiwa marehemu alikua anafuata madhehebu ya kikristo, ilikuaje awe na wake wawili, wanaotambulika.
.Maana wakristo wengi dhambi ya kumiliki wake wawili wanayo, na wanahudumia sawa na mke anaetambulika ama zaidi ya mke wa ndoa, ila dhambi ipo kwenye kufunga ndoa tu.
Acha utoto wa kutoa namba za watu kwenye mitandao bila idhaa yao0738336925 mcheki huwenda akakukubali