Mzee ananuka mdomo: Kero usafiri wa umma

Nimecheka sana ndiyo maana mm hua natoa hela kwa wale jamaa wa ticket ili wanipange na pisi ili kuepuka hizo changamoto.

Kama nauli ni 90,000 mm nampatia 100,000. Staki shida mm nitafute pesa kwa shida halafu nisafiri kwa shida.
 
Dah ! ,Ila generation z wa Tanzania ninyi ni Kenge sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pumbavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwamba mdomo wa babu unanuka ka choo cha stendi au sio ?
 
Dah ! ,Ila generation z wa Tanzania ninyi ni Kenge sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pumbavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwamba mdomo wa babu unanuka ka choo cha stendi au sio
Nimecheka sana leo kama chizi , nadhani sijawahi cheka kama hivi tangia mwaka uanze huu
 
"Juzi nilisafiri nilivaa pamba kali, raba za kichina miwani ya machinga".... hapa wenye D mbili tushaelewa masega yameshatolewa.
 
We mwenyew mgoroko vile vile futa
 
Binafsi nisingeweza kumzalilisha huyo mzee kwa kumuanzishia thread kama hii kwenye jukwaa linalosomwa na watu wenye hekima zao ili wajue upumbavu wangu. Hizi ni akili za kijana asiyejitambua, asiyejua mazingira halisi ya watanzania mbalimbali especially kutoka huko bush interiors ambapo wazee wetu hawajui kama kuna kanuni za kiafya za kusafisha vinywa mara kwa mara baada ya kuingiza chochote mdomoni. Msukuma uliyeelimika... usiwadharau wazee wako
"Molemola sana"
 
hiyo ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…