Mzee ananuka mdomo: Kero usafiri wa umma

Kuna kibwagizo mwishoni mwishoni inaonyesha dogo kama unasapoti chama
 
Waebrania 13
2 Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua.

Usimdharau usiyemjua, huenda katika situationi hiyo Mungu anataka kuona unavyojali wengine,
Jifunze :kuna mtu Mmoja mcha Mungu alikuwa akimwomba Mungu aonane naye uso kwa uso ,katika maombi yake Mungu akamtokea akamwambia nitakuja muda Fulani unione!!! muda ulipofika alikuja bibi mchafumchafu akamwomba maji ya kunywa akamnyima😭, yule bibi
Akaondoka ,yule mtu akarudi kumwambia Mungu mbona we ni mwongo akamjibu akamwambia mbona nilikuja hukunikaribisha, ukaninyima na maji,?

#Kijana unapishana na gari la mshahara##
 
Hizi pigo, utakuja kuitwa .........bure
Maana kuna watu humu wamevurugwa wakiona mtu kapendeza......
We umemuona wapi kapendeza? Kuna mtu anayeenda au anayeishi makete anajua kupendeza?😀

Si wapiga debe tuna siri zenu nyingi sana humu mastendi ya mabasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…