Mzee ananuka mdomo: Kero usafiri wa umma

Yeah, wengine ni ugonjwa nadhani....
Maana wanasugua meno mpaka fizi zinatoa damu lakini bado mkikaribiana wasmell bad
... halafu usafi wa kinywa hauishii kwenye kusukutua meno! ... mtu unatakiwa usafishe ulimi na paa na kuta za kinywa mpaka na koo la chakula! ... nyumanyuma ya kinywa, karibu na koromeo, ni maeneo yenye makunyanzi yanayoweza kutunza protein na wanga unaooza na hivyo kutoa harufu kali!
USAFI WA KINYWA NI KAZI!
 
Umesema kwenye koromeo?
 
Mtu msafi unashindwa hata kununua passo. Jitahidi msafi upate hata toyo used
 
Watu wengi tu kusafisha kinywa kila baada kula ni mtihani sana, unakuta mtu anacheka fizi zimejaa mboga za majani kama mbuzi.
Ila huyo mwamba kajua kumchamba huyo mzee nadhani mpaka sasa hiyo harufu itakuwa imeshakata😃😃😃😃😃
 
Hilo basi Gani na mifuko ya Rambo Tena!
 
😃😃😃
 
Wewe haunuki midomo na miguu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…