residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Mimi nimeanza kuhamisha baadhi ya biashara zangu Kenya, Comoro na Ushelisheli. Akiongeza zaidi,ntahamisha na familia yote.Ila kusema ukweli kama huyu mzee ana huruma na Watanzania, basi hiyo miaka yake 10 inamtosha sana. Akiongeza mingine isiyo na kikomo, basi tutarajie kuona baadhi ya Watanzania wakiikimbia nchi kwa kasi ya ajabu.
Huenda yale ya wahamiaji kutoka Ethiopia, yakahamia kwetu. Hii ni kutokana na serikali yake kutumia nguvu nyingi kwenye miundombinu, huku maeneo mengine yanayo gusa maisha ya watanzania moja kwa moja mfano ajira kwa vijana, mzunguko wa fedha mtaani, nk. Yakiendelea kupuuzwa.
Sio tuheshimu katiba!!??Utaratibu ufuatwe, kura zipigwe ili wananchi waamue
Mkuu pengine Butiku alizungumza mengi zaidi ila mleta mada akaamua kuleta machache tu? Ningekuwa nimesikiliza yote aliyosema ingekuwa vizuri zaidi. All in all dalili zinaonyesha kuna-calculated move ya kuondoa ukomo wa urais au kuongeza ile muda kutoka miaka 5 kwenda 7. Magufuli amesikika mara kadhaa akisema hana huo mpango lakini ninavyomjua angekuwa hataki ungekuta huo mjadala umeshafungwa siku nyingi. Mbona corona hakuna anayethubutu kuitaja hata jina tu wakati ipo? Hata uchaguzi uliporwa naona ni maandalizi ya kubadili katiba. Kelele zinazopigwa sasa hivi ukizisikiliza kwa sikio la tatu zinaashia motive mbaya sana."wako mfukoni"?
Kamwe siamini kwamba mtu kama mzee Butiku "yuko mfukoni". Kutakuwepo na neno/maneno bora zaidi ya kuielezea hali ya wengi walio kama Butiku, bila ya "kuwekwa mfukoni."
Hahahaaaaaaa.Huo utaratibu wenyewe ndio kuheshimu katiba
Wazee kama Butiku, Warioba siyo mikate tena ni 'mabumunda magumu' yanayojua nchi hii ipo na inaelekea katika hali gani..Mkate ukiuweka kwenye chai,lazima ulainike.
Kwa mtu mwenye upeo wa kati hili la kubadilisha katiba na kumuongezea muda raisi ni rahisi kuling'amua.Mkuu pengine Butiku alizungumza mengi zaidi ila mleta mada akaamua kuleta machache tu? Ningekuwa nimesikiliza yote aliyosema ingekuwa vizuri zaidi. All in all dalili zinaonyesha kuna-calculated move ya kuondoa ukomo wa urais au kuongeza ile muda kutoka miaka 5 kwenda 7. Magufuli amesikika mara kadhaa akisema hana huo mpango lakini ninavyomjua angekuwa hataki ungekuta huo mjadala umeshafungwa siku nyingi. Mbona corona hakuna anayethubutu kuitaja hata jina tu wakati ipo? Hata uchaguzi uliporwa naona ni maandalizi ya kubadili katiba. Kelele zinazopigwa sasa hivi ukizisikiliza kwa sikio la tatu zinaashia motive mbaya sana.
Unafurahia kuitumbukiza nchi hii katika makucha ya dikteta?Mimi ni mjumbe na unazijua tabia zetu wajumbe😅😅😅 taratibu zifuatwe mwisho wa siku idadi ya kura zitaamua
Jiwe halisogei mpaka lisogezweTears of an oppressed never go in vain. God never punishes a culprit unless the latter "exceeds" in wrong doings.
We leave our case to God.
Hapa naona tunashikwa matiti,makalio na kukisiwa I MEAN TUNAANDLIWA KWENDA KU............Taratibu wanatest kina cha Maji
umemalizaHata hivyo ukiachana na precedent ya marais wa huko nyuma kuondoka madarakani, hakuna kitu kingine cha kumzuia.
Watanzania washapigika kikamilifu, njaa na kukata tamaa. Tayari wako KIBRA.
Wanaishi kwa matumaini tu.
Ni yeye tu aamue kubaki au kustaafu, hakuna wa kusema chochote wala kumzuia.
Kama ni katiba anaivuruga kila siku.( Angalia suala la Wabunge wa CHADEMA maarufu kama COVID-19 ).
Kwasasa ana uwezo wa KUFANYA CHOCHOTE wakati WOWOTE.
Inawezekana....God can move it.