Jana CCM tulishahitimisha kuwa uwekezaji ni kwaajili ya maendeleo ya taifa.
Bunge tulishapitisha azimio hilo la IGA kuwa lina tija.
Mzee hawezi kutusumbua huyu.
Taifa la wendawazimu.
Shenzistan
CCM ni chama cha siasa, lakini sijaona kwenye katiba au sheria za nchi ni wamiliki wa rasilimali za nchi. rasilimali za nchi ni mali ya wanachi wote, ambao kwa mujibu wa tafiti zenu wenyewe waliowengi watz si wanasiasa. hivyo ni vizuri kuheshimu rasilimali za nchi kwa ajili ya watu wote. Uzalendo ni kupenda raia hasa wasio katika mfumo wa vyama vya siasa.
kutumia CCM kama "bench mark" kugawa rasilimali za taifa ni usaliti wa taifa, na dhambi hii ya USALITI KWA TAIFA, CCM itawagharimu maisha yenu yote, mmejenga chuki sana kati ya taifa, mmeligawa taifa kwa makusudi kwa tamaa ya pesa kilichojificha kwenye kivuli cha uwekezaji.
terms na condition ni ule ule aliouesema Magufuri kuwa ni "Kichaa tu ndio anaweza kuukubali" na kweli umekubaliwa kwa terms zile zile
Jana CCM tulishahitimisha kuwa uwekezaji ni kwaajili ya maendeleo ya taifa.
Bunge tulishapitisha azimio hilo la IGA kuwa lina tija.
Mzee hawezi kutusumbua huyu.
Taifa la wendawazimu.
Shenzistan.
CCM ni chama cha siasa, lakini sijaona kwenye katiba au sheria za nchi ni wamiliki wa rasilimali za nchi. rasilimali za nchi ni mali ya wanachi wote, ambao kwa mujibu wa tafiti zenu wenyewe waliowengi watz si wanasiasa. hivyo ni vizuri kuheshimu rasilimali za nchi kwa ajili ya watu wote. Uzalendo ni kupenda rasilimali za nchi zitumike kwa faida ya raia wote kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi.
kutumia CCM kama "bench mark" kugawa rasilimali za taifa ni usaliti wa taifa, na dhambi hii ya USALITI KWA TAIFA, CCM itawagharimu maisha yenu yote, iwe kesho au leo hata mtondogo, kiufupi kwa muda mfupi huu mmejenga chuki sana kati ya taifa, mmeligawa taifa kwa makusudi kwa tamaa ya pesa kilichojificha kwenye kivuli cha uwekezaji.
terms na condition ni copy and paste ya ule mkataba ambao Magufuri aliwaeleza tanz kuwa ni "Kichaa tu ndio anaweza kuukubali" na kweli umekubaliwa kwa terms zile zile alizozikataa mtangulizi wake.